MBASHARA Dodoma Azam Xtra. Mdahalo wa miaka hamsini ya Azimio la Arusha.

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,282
38,359
Mdahalo unaendelea Azam Xtra, Jaji warioba yupo hewani sasa hivi.

Jaji Warioba ...Azimio la Arusha halikuwa tukio la ghafla.

Jaji Warioba..Azimio la Arusha limeleta Utaifa kwanza....Kusiwe na ubaguzi wa aina yoyote ile.

Karibuni mdahalo unaendelea.....
 
Ni kweli Azimio ni la Arusha si la CCM.

Wanajadiri hewa kama kawaida yao
 
Karibuni ukumbi wa chuo kikuu cha Dodom Chimwaga kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Azimio la Arusha
 
Hewa kivipi, sikiliza hoja upinge kwa hoja... Tupunguze mihemuko ya kisiasa.
Hata hoja ni hewa ni vioja.

CCM ilizika Azimio la Arusha kwa Azimio la Zanzibar. BISHA. Halafu waulize wazee wako wa busara wanajadiri nini.

Zitto kaitisha kongamano la Azimio la Arusha nyinyi mnakurupuka kupreempt.

Ndiyo matokeo ya serikali za CCM za mwendokasi
 
Back
Top Bottom