Mbao zisizoliwa na wadudu, zisizooza kwa outdoor furniture, ujenzi wa camp site n.k

neggirl

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
4,843
2,117
Tunauza mbao na nguzo za plastiki (zilizotengenezwa kwa mabaki ya plastiki 100%) imara na madhubuti kwa ajili ya utengenezaji wa samani za bustanini, ujenzi wa campsite, uzio wa makazi na bustani n.k

Mbao na Nguzo hizi za plastiki haziozi, haziliwi na wadudu, ni imara, zinadumu muda mrefu zaidi, zina mvuto na ni rafiki kwa mazingira. Tupo Tegeta, simu 0757 100 012
 
Attachments

  • Sample 1..jpg
    Sample 1..jpg
    9.5 KB · Views: 14
  • C 2.jpg
    C 2.jpg
    93.2 KB · Views: 15
  • Bronchure -m.jpg
    Bronchure -m.jpg
    86.7 KB · Views: 14
  • IMG_20200331_152833_117.jpg
    IMG_20200331_152833_117.jpg
    156.6 KB · Views: 4
  • IMG_20200330_161442_2 (1).jpg
    IMG_20200330_161442_2 (1).jpg
    372 KB · Views: 5
Tunauza mbao na nguzo za plastiki (zilizotengenezwa kwa mabaki ya plastiki 100%) imara na madhubuti kwa ajili ya utengenezaji wa samani za bustanini, ujenzi wa campsite, uzio wa makazi na bustani n.k

Mbao na Nguzo hizi za plastiki haziozi, haziliwi na wadudu, ni imara, zinadumu muda mrefu zaidi, zina mvuto na ni rafiki kwa mazingira. Tupo Tegeta, simu 0757 100 012
Weka specs pamoja na bei.
 
Back
Top Bottom