mkuu maendeleo ya uwanja huko bunju vipi? mlisema mtapeleka media vipi mlifanikiwa kupeleka? kapicha itakuwa sio mbayaBaada ya 'timu bora kwa sasa nchini Tanzania' Simba SC kupunguzwa kasi na Ndada, leo itakua angani kuelekea kanda ya ziwa lengo likiwa ni kuchukua point zake 6.
Simba SC akiwa kanda ya ziwa atacheza mechi zifuatazo;
Mechi: Mbao FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kirumba, Mwanza
Tarehe: 20/09/2018.
Mechi: Mwadui FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kambarage, Shinyanga.
Tarehe: 22/09/2018
Simba SC akiwa na point zake 6 mfukoni alizozipata kanda ya ziwa, 27/09/2018 atacheza dhidi ya Biashara United katika dimba laTaifa Stadium, tarehe
Baada ya gemu hiyo kinachofuata, ni ile 'sikukuu' yetu dhidi ya Ndala. Naamini kama jamaa hawatagoma kuingiza timu siku hiyo, basi baada ya Dk. 45 hawatarudi uwanjani.
"Jamani Eeeeeh.. huyu Mnyama kashajeruhiwa, na sote tunajua Simba akijeruhiwa kipi kinafuata.. Natanguliza pole zangu za dhati kwa timu zote (hasa hasa Ndala) zinazoenda kukutana nae kuanzia hivi sasa" - Sembo
Nikiripoti toka Julius Nyerere International Airport.. Ni Mimi Sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
Asee hivi kutokuja uwanjani na kuja halafu mkong'oto ukikolea unakimbia katikati ya pambano kipi ni kituko kikuu zaidi yaani kocha anawaambia kipindi cha pili tumieni mbinu hii na hii halafu wachezaji wanamwambia ile hali siyo, sisi haturudi uwanjani-Mwaka 2007 kwenye mashindano ya Club Bingwa Africa Mashariki nakumbuka Yanga ilikimbia hata uwanjani hawakuonekana.
-Mwaka 2018 kwenye mashindano hayohayo Yanga na Simba walipangwa kundi 1. Nadhani hapa unakumbuka kilichomuokoa Yanga ni mbio
Kanda ya ziwa mtarudi na Pointi zisizozidi tatuBaada ya 'timu bora kwa sasa nchini Tanzania' Simba SC kupunguzwa kasi na Ndada, leo itakua angani kuelekea kanda ya ziwa lengo likiwa ni kuchukua point zake 6.
Simba SC akiwa kanda ya ziwa atacheza mechi zifuatazo;
Mechi: Mbao FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kirumba, Mwanza
Tarehe: 20/09/2018.
Mechi: Mwadui FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kambarage, Shinyanga.
Tarehe: 22/09/2018
Simba SC akiwa na point zake 6 mfukoni alizozipata kanda ya ziwa, 27/09/2018 atacheza dhidi ya Biashara United katika dimba laTaifa Stadium, tarehe
Baada ya gemu hiyo kinachofuata, ni ile 'sikukuu' yetu dhidi ya Ndala. Naamini kama jamaa hawatagoma kuingiza timu siku hiyo, basi baada ya Dk. 45 hawatarudi uwanjani.
"Jamani Eeeeeh.. huyu Mnyama kashajeruhiwa, na sote tunajua Simba akijeruhiwa kipi kinafuata.. Natanguliza pole zangu za dhati kwa timu zote (hasa hasa Ndala) zinazoenda kukutana nae kuanzia hivi sasa" - Sembo
Nikiripoti toka Julius Nyerere International Airport.. Ni Mimi Sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
Kagere viwanja vya mikoani anasema vibovuKing Meddie Kagere lazima aue
Iangalie kwenye viwango vya club bora Africa. Wakimzidi Azam Mimi kuanzia Leo sitaamini tena kwamba Simba ni Mbumbumbu FCkila mtu anajua simba ndo club bora kabisa tanzania na ni moja ya club bora duniani.
Mkuu bado tunakuhitaji, usitukimbie. Labda nikuambie tu, sasa mambo yamebadilika toka uache kushabikia soka la Tanzania.. Simba SC tumeimarika mara dufu. Jaribu kuifatilia, then utaona kuna mambo yanakupita.Ushabiki wa kipuuzi kiasi hiki ndio uliosababisha nikaacha kabisa kushabikia mpira wa Tanzania Iwe klabu au Taifa Stars
Msimu ulipoita tumechukua makombe 2.. Ligi kuu na FA.. Msimu huu tumeanza na Ngao ya Jamii.. Then makombe 3 (ligi, FA na Muungano) yakifuata huku katika katika ile michuano tutakayoshiriki mabingwa tu katika bara hili la Africa, kama ikitokea tumefanya vibaya (japo hiki kitu hakipo) tutaishia hatua ya makundi.Kwa mdomo hamjambo, issue ipo kwenye idadi ya makombe.
mkuu unazingua sasa, mambo yalivyopangwa ni kupeleka media ijumaa iliyopita naona kimyaMkuu mambo yanaenda kama yalivyopangwa.. Vita subira.
Mkuu tangu dunia hii iumbwe, hakuna klabu yoyote iliyowahi kuchukua ubingwa kwa kushinda mechi zote (lazima idroo hata menchi moja).. Simba SC ni nani mpaka asidroo?!Mkuu, yaliyotokea Ntwara kwa Ndanda FC, kufungwa na Simba miaka yote isipokuwa juzi bado haijakusaidia angalau kuwa objective?
Vv