Mbao fc 0 vs 1 Yanga | ASFC | Kirumba Mwanza

Yanga anashambulia sana na mbao wanaonekana kukosa kabisa spirit ya kupambana ili kurudisha zaidi naona wanapambana kuzuia wasifungwe lingine
 
Kumbe ni rahisi hivyo, asa kwanini wakina Kagere wasijifunze kuwa waviziaji?
Sio mbinu ya mwalimu

Ni sawa na mwanafunzi aliyefaulu alama za juu kwa kutazamia kwa wengine

Halafu kukawa na mwanafunzi mwingine mwenye ufaulu wa kawaida tu.

Watu wanahoji aina ya ujanja anaotumia mwanafunzi wako sio nzuri kwasababu anafuga ubovu, we ukawa unasema kama huyo mwanafunzi wa pili asijifunze kwa huyo mwanafunzi anayetazamia kwa wenzake

Sio mbinu ya mwalimu kufundisha utazamiaji au cheating kwenye mtihani
 
Mauya mtu sana, anakosa Tactical education kitu ambacho Nabi ilibidi amfundishe, muangalie kwenye build up ile first touch yake, body orientation, namna anavyoturn ila kwenye final ball ndio kituko. Ni vitu vidogo tu vinafundishika.
Kuna watu kazi yao hua ni kulaumu tu
 
Back
Top Bottom