Mbao fc 0 vs 1 Yanga | ASFC | Kirumba Mwanza

Mie naona kipindi cha pili Nabi awaingize Mayele, Moloko na Bangala ikiwezekana na yule golikipa wetu aliyekuwa Cameroon akidaka kwenye AFCON ili aje kudaka penalt.
 
dakika ya 52' pasi ya moloko inafanikiwa kumfikia kipa wa mbao vilivyo kabisa
 
Dakika ya 53 mayele anaiongozea yanga kwa kuipatia bao la kichwa hapa
 
Yassin mustafa anapiga mkuki hatari ila golikipa anakaa imara zaidi
 
Naam lango la mbao linazidi kukamiwa zaidi na sasa mashambulizi yote yanachezwa kwenye eneo lao, mpira haujavuka katikati ya uwanja
 
Hawa mbao wa sasa hivi ni kama sio wale waliocheza kipindi cha kwanza
 
Back
Top Bottom