M'bantu aliyenunua London Gatwick Airport

YouTube - Adebayo Ogunlesi, owner of Gatwick Airport

Jamaa huwa hawatukubali kabisa hata tufanye kitu cha maana. Huyu presenter anaongea na mshkaji kimadharauu,nadhani mpaka tumuoe malikia wao ndio watashika adabu.GO AFRIKAN GOO GOOO.:cool:

Khe khe khe .... .... hapana mkuu huyo presenter ni Jeff Randall alikuwa BBC kabla ya kubwaga manyanga na kwenda SKY News alikuwa kwenye kitengo cha Bussiness hivi sasa yuko dada moja. Hivyo ndivyo anavyoongea hata akimhoji Secretary of state huwa ni hivyo hivyo. Good move for Nigerian business man I hope they will use their worth and resources to develop their country as well.
 
Back
Top Bottom