Mbali ya kuwa ni jina la Chama Cha Kisiasa hapa nchini, neno "CHADEMA" pia ni surname (ubini) ya watanzania wa kabila (ukanda) lipi hapa kwetu???????

Upo sahihi boss it's a coincidence ila hawa watanzania si wana makabila jao? Hawa akina CHADEMA ni watu wa kabila gani?
mkuu , CHADEMA ina kirefu chake "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo". na hayo majina ya hao ndugu ndio maana nikasema ni coincidence kwa kuwa majina mara nyingi hayana kirefu ila yanakuwa na maana yake ya asili na siyo abbreviations, sijui kama tunaelewana
 
mkuu , CHADEMA ina kirefu chake "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo". na hayo majina ya hao ndugu ndio maana nikasema ni coincidence kwa kuwa majina mara nyingi hayana kirefu ila yanakuwa na maana yake ya asili na siyo abbreviations, sijui kama tunaelewana
Yes mkuu nimekuelewa saaana tena sana. Wewe binafsi uliwahi kuonana na mtu anayetumia surname ya CHADEMA? (Achana na Mdude Nyangali)
 
Yes mkuu nimekuelewa saaana tena sana. Wewe binafsi uliwahi kuonana na mtu anayetumia surname ya CHADEMA? (Achana na Mdude Nyangali)
hapana nimeshangaa hata mimi ndio kwanza nimeona kupitia wewe kwenye huu uzi. Inafikirisha lakini. Nadhani majibu ya uhakika wanaweza kuwa nayo hao ndugu na huenda ikawa ni mapenzi ya kisiasa au vingonevyo. BTW hayo matokeo ya mwaka gani mkuu
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Mbali ya kuwa ni jina la Chama Cha Kisiasa hapa nchini, neno "CHADEMA" ni surname (ubini) ya watanzania wa kabila (ukanda) lipi hapa kwetu?

Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba nilipokuwa ninaangalia matokeo ya wanafunzi katika website ya NECTA ndio nikakutana na baadhi ya watanzania wenye majina yanayoshabihiana na vyama vya kisiasa. Tazama screenshots chache hapo chini; Kuna majina yamefanyiwa highlighting kwa rangi ya orange.

(1) ZUBERI MHINA CHADEMA
(2) ASHURA CHADEMA MUSSA
(3) LAMECK CHADEMA KIMELA
(4) MROCKI CHADEMA MVUNGI
(5) JAMES CHARLES CHADEMA
(6) JUMA HAMISI CHADEMA

View attachment 1439505

View attachment 1439506

View attachment 1439507
Pia fungua link ya Google Search Engine hapo chini kwa ushahidi zaidi

https://www.google.com/search?ei=fdSuXoSyBYK7lwSww6i4CQ&q=chadema+site:necta.go.tz&oq=chadema+site:necta.go.tz&gs_lcp=ChNtb2JpbGUtZ3dzLXdpei1zZXJwEAxQAFgAYNfyM2gAcAB4AIABAIgBAJIBAJgBAA&sclient=mobile-gws-wiz-serp

ANGALIZO: Ninaomba uzi huu usigeuke ukawa ni uwanja wa mabishano ya kisiasa baina ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vingine vya kisiasa. Nisaidieni kujua hili ni jina la kabila gani.

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA MIMI PAMOJA NA WEWE. SOTE TUTIMIZE WAJIBU WETU IPASAVYO.
Angalizo, humo wanamoonekana absent walikuwa wameshikiliwa.
 
Back
Top Bottom