Mbali na umasikini tulionao TANESCO wanazidi kututia Umasikini

Ulikuwa unatumia li desk top la ofisini....
Halina hata kihifadhi umeme.

Umedoda
 
Hebu tulia andika vema.
Usiitukane TANESCO najua una uchungu na hizo kumbukumbu
sisi wengine tunapika chips, kukaanga mayai friji na kadhalika
umeme ulikuwa unakatwa kia siku hatuuzi
mwenzetu kumbe bundle
ngoja nihudumie hapa chips mayai kwa wateja hawa Tanesco wananimulkia bure kwa chini ya 10,000/
POLE LAKINI MKUU
 
Nashauri Ufunguliwe Uzi wa Kuwatukana MATUSI MAKALI Tanesco, Mbali na Umasikini Tulionao hawa wanazidi kututia Umasikini zaidi, Wanataka Tukaishi kwenye Mibuyu!? Wallah Tanesco wakiendelea Kumilikishwa Shirika Mimi nitahama Nchi
emoji21.png
"Naapa"
Mweee! Unataka kuwasha moto usio weza kuuzima eeh! Hakuna watu wenye matusi makali kama mafundi wa TANESCO. Yani wanaweza wakatukana matusi mapya kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa mwaka mmoja mfululizo bila kurudia matusi... Wale jamaa wala usithubutu. Wana PhD ya kutukana.
 
Mweee! Unataka kuwasha moto usio weza kuuzima eeh! Hakuna watu wenye matusi makali kama mafundi wa TANESCO. Yani wanaweza wakakukana matusi mapya kuanzi asubuhi mpaka jioni kwa mwaka mmoja mfululizo bila kurudia matusi... Wale jamaa wala usithubutu. Wana PhD ya kutukana.
umenikumbusha wanaposimamisha nguzo barabarani kwa kutumia mikona na kamba, ni lazima ukimbie km kuna wanawake
TANESCO yaanza kutumia makundi ya WhatsApp kuwasiliana na wateja - JamiiForums
 
Wanajamii.

Takribani mwezi sasa, katakata ya umeme bila ratiba yoyote, taarifa zozote kutoka mamlaka husika. Wiki iliyopita nimetoka dar es salaam kuja mbeya nimekutana na kadha ya umeme kukatika katika.

Miaka kama nane iliyopita kulikuwa na msemaji wa tanesco jina lake kama nakumbuka vizuri aliitwa 'babra', alikuwa anajitahidi sana kutuambia pale dharura ya kukatika kwa umeme inapotokea..sijui siku hizi wana kwama wapi?


Sasa TANESCO si mtututamgazie tu kuwa kuna mgao kuliko adha hii tunayoipata ya kukatika katika kwa umeme??




Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom