kiraza
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 353
- 480
Tanesco ni zaidi ya wehu, yaani nimejikakamua nimeweka Bundle ya 160,000 GB 100 Smile ili nidownload File ambalo nalo nimelinunua Online Kwa Usd 79.! File Limedownload GB 92 Tangu Mchana Imebaki GB 1 within 10 Minute File Limalizike Kuingia! Tanesco wamekata Umeme! bila hata Taarifa! HAIWEZEKANI Imeniuma sana huu ni unyanyasaji mkubwa mno, Nashauri Ufunguliwe Uzi wa Kuwatukana MATUSI MAKALI Tanesco, Mbali na Umasikini Tulionao hawa wanazidi kututia Umasikini zaidi, Wanataka Tukaishi kwenye Mibuyu!? Wallah Tanesco wakiendelea Kumilikishwa Shirika Mimi nitahama Nchi "Naapa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app