Mbali na umasikini tulionao TANESCO wanazidi kututia Umasikini

kiraza

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
353
480
Tanesco ni zaidi ya wehu, yaani nimejikakamua nimeweka Bundle ya 160,000 GB 100 Smile ili nidownload File ambalo nalo nimelinunua Online Kwa Usd 79.! File Limedownload GB 92 Tangu Mchana Imebaki GB 1 within 10 Minute File Limalizike Kuingia! Tanesco wamekata Umeme! bila hata Taarifa! HAIWEZEKANI Imeniuma sana huu ni unyanyasaji mkubwa mno, Nashauri Ufunguliwe Uzi wa Kuwatukana MATUSI MAKALI Tanesco, Mbali na Umasikini Tulionao hawa wanazidi kututia Umasikini zaidi, Wanataka Tukaishi kwenye Mibuyu!? Wallah Tanesco wakiendelea Kumilikishwa Shirika Mimi nitahama Nchi "Naapa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashauriwa kuwa na chanzo mbadala cha nishati Mfano solar

Kama ulikuwa unatumia IDM Fanya resume kitu kitaendelea kilipoishia pia hata torrent kitu kitasogea ila Kama ulikuwa unapakua kavu kavu ndio imetoka hiyo
 
ungekua na IDM ungeweza resume file bila utata, kuna back up UPS ( model APC ) za mpaka laki 2 kwa ajili ya desktop, una enjoy umeme ukkata inakupa dk 20
 
kwetu huku Dodoma Tanesco hawakati umeme,
unanunua bundle kwa 160,000. na file la 79$ sawa na 181,000/ jumla 341,000
kwanini usinunue generator ya petrol au power bank
TANESCO achana nao mm nikiwa na 9150/ napata unit 75 na haziishi kwa mwezi
hawa jamaa wapewe BIG UP
 
Hebu tulia andika vema. Jamaa gani wapewe big up? Umeandika kwa mwezi unapata unit 75 kwa sh. 9150.
 
Back
Top Bottom