macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,770
- 39,555
Unaona ambavyo hukuelewa nilichaandika. Tatizo siyo watu hawataki kulipa kodi ila tatizo ni namna zinavyotozwa.Mkuu umetoa ushauri mzuri Sana.

Nakubaliana na wewe kabisa.
Ila Case study Kwa Uzi huu ni Tanzania Mkuu
Unaona ambavyo hukuelewa nilichaandika. Tatizo siyo watu hawataki kulipa kodi ila tatizo ni namna zinavyotozwa.
Come on pull your socks dude! Uking'angania tu watu walipe kodi bila kuhakikisha kodi inatozwa kwa haki na inatumika vizuri itakuwa unafanya hicho hicho kina Mwingulu wanachofanya. Wewe hutatui tatuzo bali unazidishi tatizo.Hakuna asiyejua umuhimu wa Kodi,
Kama vile hakuna asiyejua umuhimu wa Zaka na Sadaka lakini binadamu ndio tupo hivyo.
Nimekusoma na nimekuelewa sema wewe ndio huangalii uhalisia
Kwema Wakuu!
Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi.
Hata wanaolipa Kodi ni kutokana na hawana jinsi mazingira yanawabana tu.
Ila Kama wangeambiwa kwa hiyari yao nakuhakikishia watu wasingelipa kodi.
Watumishi wa Umma kama sio kukatwa juu kwa juu kwenye mishahara Yao na waajiriwa wa sekta binafsi zile kubwa, wangekuwa wanalipwa mikononi mwao kisha wao wenyewe ndio wakalipe Kodi, na kuhakikishia kodi isingelipwa.
Siku ya jana nilikuwa naongea na Mbunge mmoja ambaye ni rafiki yangu sana, akanichekesha mno. Nilipomgusia suala la kukatwa Kodi kwenye mishahara yao, alionyesha kukasirishwa Sana na mpango huo. Hataki kabisa Mshahara wake uguswe, yaani alikuwa mkali Kama mbogo ungedhani Mimi ndiye ninayemkata😃😃😃.
Usishangae Rais halipi Kodi,
Usishangae Mawaziri na wabunge hawalipi Kodi,
Kodi kulipa Kwa Watanzania ni kipengele.
Hata hivyo nafahamu kuna indirect Tax ambazo watu hulipa Kodi, lakini hapa nazungumzia Direct Tax.
Maeneo niliyowahi kuishi, Wafanyabiashara wakisikia TRA au Manispaa wanakuja, utashindwa kushangaa, watu watafunga MADUKA, ofisi na kukaa pembeni wakijifanya sio wakazi wa eneo hilo😃😃😃
Haya ninayoyazungumza wote tunayajua, hakuna asiyejua kuwa Watanzania wengi ni mabingwa waliobobea Kwa kukimbia kulipa Kodi.
Wanaoomba joto ya jiwe ni Wafanyabiashara WA mjini, katikati ya Mji au jiji hawa mazingira hatawaruhusu kuwakimbia TRA Ila vinginevyo, wangekuwa nao wanakimbia tuu.
Kama Watanzania wengi tungekuwa tunapenda kulipa Kodi, nakuhakikishia nchi hii ingekuwa moja ya nchi zilizoendelea.
Kama Watanzania wengi tungekuwa tunapenda kulipa Kodi, nakuhakikishia Wafanyakazi WA TRA wangekuwa na maisha ya kawaida Sana, kwani mishahara yao sio mikubwa kihivyo lakini Rushwa ndio inawafanya watambe hapa mjini.
Ukitaka kuwabana Watanzania wengi yaani wengi walipe Kodi basi hakikisha unawabana kwenye Maeneo yanayotumiwa na wengi na walipe indirect way.
Kwa mfano, kwenye MIAMALA ya simu, vocha Kama serikali ilivyofanya,
Sema serikali iangalie kwenye Kodi zenyewe wazikatazo waweke walau nafuu sio haya makato nyonyaji,
Masuala ya Luku waongeze, Masuala ya Bill ya maji waongeze,
Lengo sio kuwakomoa Watanzania Bali kuwafanya walipe Kodi, maana Kwa njia ya kawaida serikali imethibitisha haiwezi kulipisha Watanzania Kodi.
Na Watanzania wengi tumethibitisha hatuwezi kulipa Kodi Kwa hiyari yetu pasipo nguvu.
Nawasilisha, mwenye hoja karibu, na wenye povu pia Ruksa
Taikon wa Fasihi
Ruaha, Iringa
Hizo nchi nyingine wamefanyaje kuondoa hiyo asili ya binadamu kuwa mgumu kutoa? Kwa nini na sisi tusijifunze kutoka kwao?Pia na Ile asili ya mwanadamu kuwa mgumu kwenye kutoa
Naskia washaweka sh.100 kila ukigonga menu ya simbanking au NMB mobile wanafyeka 100 chap 😂😂😂Wao ni Kwa sababu Wana namna ya kukimbia,
Sisi wa kina Katope hatuna njia ya kukimbia 😃😃😃
Asili ya kuwa mgumu kutoa inatokana na ahueni ya maisha! Ifikie mahali hela zako unazotafuta uwe unaziona maana huduma za kijamii zipo free sababu ya kodi inayokusanywa imefikia maturity!Hizo nchi nyingine wamefanyaje kuondoa hiyo asili ya binadamu kuwa mgumu kutoa? Kwa nini na sisi tusijifunze kutoka kwao?
Kodi zinazokusanywa zinafanya nini zaidi ya kuwanufaisha viongozi. Unajisikiaje kiongozi anapita na v8 alafu wewe unatembe kwa mguu?Kwema Wakuu!
Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi.
Hata wanaolipa Kodi ni kutokana na hawana jinsi mazingira yanawabana tu.
Ila Kama wangeambiwa kwa hiyari yao nakuhakikishia watu wasingelipa kodi.
Watumishi wa Umma kama sio kukatwa juu kwa juu kwenye mishahara Yao na waajiriwa wa sekta binafsi zile kubwa, wangekuwa wanalipwa mikononi mwao kisha wao wenyewe ndio wakalipe Kodi, na kuhakikishia kodi isingelipwa.
Siku ya jana nilikuwa naongea na Mbunge mmoja ambaye ni rafiki yangu sana, akanichekesha mno. Nilipomgusia suala la kukatwa Kodi kwenye mishahara yao, alionyesha kukasirishwa Sana na mpango huo. Hataki kabisa Mshahara wake uguswe, yaani alikuwa mkali Kama mbogo ungedhani Mimi ndiye ninayemkata.
Usishangae Rais halipi Kodi,
Usishangae Mawaziri na wabunge hawalipi Kodi,
Kodi kulipa Kwa Watanzania ni kipengele.
Hata hivyo nafahamu kuna indirect Tax ambazo watu hulipa Kodi, lakini hapa nazungumzia Direct Tax.
Maeneo niliyowahi kuishi, Wafanyabiashara wakisikia TRA au Manispaa wanakuja, utashindwa kushangaa, watu watafunga MADUKA, ofisi na kukaa pembeni wakijifanya sio wakazi wa eneo hilo
Haya ninayoyazungumza wote tunayajua, hakuna asiyejua kuwa Watanzania wengi ni mabingwa waliobobea Kwa kukimbia kulipa Kodi.
Wanaoomba joto ya jiwe ni Wafanyabiashara WA mjini, katikati ya Mji au jiji hawa mazingira hatawaruhusu kuwakimbia TRA Ila vinginevyo, wangekuwa nao wanakimbia tuu.
Kama Watanzania wengi tungekuwa tunapenda kulipa Kodi, nakuhakikishia nchi hii ingekuwa moja ya nchi zilizoendelea.
Kama Watanzania wengi tungekuwa tunapenda kulipa Kodi, nakuhakikishia Wafanyakazi WA TRA wangekuwa na maisha ya kawaida Sana, kwani mishahara yao sio mikubwa kihivyo lakini Rushwa ndio inawafanya watambe hapa mjini.
Ukitaka kuwabana Watanzania wengi yaani wengi walipe Kodi basi hakikisha unawabana kwenye Maeneo yanayotumiwa na wengi na walipe indirect way.
Kwa mfano, kwenye MIAMALA ya simu, vocha Kama serikali ilivyofanya,
Sema serikali iangalie kwenye Kodi zenyewe wazikatazo waweke walau nafuu sio haya makato nyonyaji,
Masuala ya Luku waongeze, Masuala ya Bill ya maji waongeze,
Lengo sio kuwakomoa Watanzania Bali kuwafanya walipe Kodi, maana Kwa njia ya kawaida serikali imethibitisha haiwezi kulipisha Watanzania Kodi.
Na Watanzania wengi tumethibitisha hatuwezi kulipa Kodi Kwa hiyari yetu pasipo nguvu.
Nawasilisha, mwenye hoja karibu, na wenye povu pia Ruksa
Taikon wa Fasihi
Ruaha, Iringa
Ugumu wa kulipa kodi si kwa Watanzania pekee. Ni kila mtu au taasisi duniani pale ianpowezekena inatafuta upenyo wa kukwepa kulipa kodi.Kwema Wakuu!
Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi.
Hata wanaolipa Kodi ni kutokana na hawana jinsi mazingira yanawabana tu.
Ila Kama wangeambiwa kwa hiyari yao nakuhakikishia watu wasingelipa kodi.
Watumishi wa Umma kama sio kukatwa juu kwa juu kwenye mishahara Yao na waajiriwa wa sekta binafsi zile kubwa, wangekuwa wanalipwa mikononi mwao kisha wao wenyewe ndio wakalipe Kodi, na kuhakikishia kodi isingelipwa.
Siku ya jana nilikuwa naongea na Mbunge mmoja ambaye ni rafiki yangu sana, akanichekesha mno. Nilipomgusia suala la kukatwa Kodi kwenye mishahara yao, alionyesha kukasirishwa Sana na mpango huo. Hataki kabisa Mshahara wake uguswe, yaani alikuwa mkali Kama mbogo ungedhani Mimi ndiye ninayemkata😃😃😃.
Usishangae Rais halipi Kodi,
Usishangae Mawaziri na wabunge hawalipi Kodi,
Kodi kulipa Kwa Watanzania ni kipengele.
Hata hivyo nafahamu kuna indirect Tax ambazo watu hulipa Kodi, lakini hapa nazungumzia Direct Tax.
Maeneo niliyowahi kuishi, Wafanyabiashara wakisikia TRA au Manispaa wanakuja, utashindwa kushangaa, watu watafunga MADUKA, ofisi na kukaa pembeni wakijifanya sio wakazi wa eneo hilo😃😃😃
Haya ninayoyazungumza wote tunayajua, hakuna asiyejua kuwa Watanzania wengi ni mabingwa waliobobea Kwa kukimbia kulipa Kodi.
Wanaoomba joto ya jiwe ni Wafanyabiashara WA mjini, katikati ya Mji au jiji hawa mazingira hatawaruhusu kuwakimbia TRA Ila vinginevyo, wangekuwa nao wanakimbia tuu.
Kama Watanzania wengi tungekuwa tunapenda kulipa Kodi, nakuhakikishia nchi hii ingekuwa moja ya nchi zilizoendelea.
Kama Watanzania wengi tungekuwa tunapenda kulipa Kodi, nakuhakikishia Wafanyakazi WA TRA wangekuwa na maisha ya kawaida Sana, kwani mishahara yao sio mikubwa kihivyo lakini Rushwa ndio inawafanya watambe hapa mjini.
Ukitaka kuwabana Watanzania wengi yaani wengi walipe Kodi basi hakikisha unawabana kwenye Maeneo yanayotumiwa na wengi na walipe indirect way.
Kwa mfano, kwenye MIAMALA ya simu, vocha Kama serikali ilivyofanya,
Sema serikali iangalie kwenye Kodi zenyewe wazikatazo waweke walau nafuu sio haya makato nyonyaji,
Masuala ya Luku waongeze, Masuala ya Bill ya maji waongeze,
Lengo sio kuwakomoa Watanzania Bali kuwafanya walipe Kodi, maana Kwa njia ya kawaida serikali imethibitisha haiwezi kulipisha Watanzania Kodi.
Na Watanzania wengi tumethibitisha hatuwezi kulipa Kodi Kwa hiyari yetu pasipo nguvu.
Nawasilisha, mwenye hoja karibu, na wenye povu pia Ruksa
Taikon wa Fasihi
Ruaha, Iringa
Ukisema Tanzanja wagumu sana unalinganisha na wapi au unatumia kipimo gani kama rejea?
Come on pull your socks dude! Uking'angania tu watu walipe kodi bila kuhakikisha kodi inatozwa kwa haki na inatumika vizuri itakuwa unafanya hicho hicho kina Mwingulu wanachofanya. Wewe hutatui tatuzo bali unazidishi tatizo.
Ugumu wa kulipa kodi si kwa Watanzania pekee. Ni kila mtu au taasisi duniani pale ianpowezekena inatafuta upenyo wa kukwepa kulipa kodi.
Kawaulize US jinsi Trump anavyoruka viunzi vya ulipaji kodi.
It's a global phenomenon.
Wameleta hiyo ya kulipia kupitia lukuHivi nikuulize, hapo Ruaha ulipo, kuna nyumba ngapi za kupangisha? Dar zipo ngapi? Hivi kwa nini mpaka sasa hakuna kodi ya wenye nyumba? Na ninaamini kama wangewekewa kodi, hakuna ambaye angelalamika. Ni kodi itatozwa kwenye mapato yao. Siyo hii ya miamala ambayo inatozwa kwenye huduma, siyo mapato.
Zipo kodi zinazoumiza. Na hii ya miamala ni mfano. Tayari kuna tozo, tunatozwa tozo juu ya tozo. Huku wanaacha fursa tele za kutoza kodi ambazo zisingeumiza watanzania. Hiyo ndiyo hoja. Kusema tu kwamba watanzania hawapendi kulipa kodi, hujawatendea haki. Hizo ni kauli za kibwanyenye.