Mbalamwezi na nadharia zake

Nelson nely

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
4,256
2,862
Mbalamwezi ikiwa kwenye umbo lake kamili huwa kuna vivuli fulani vinaonekana pale,hivi vivuli vinazungumziwa kwa namna mbalimbali kulingana na mawazo na mazingira tofauti,mfano:
Dodoma
Nikiwa mdogo kijijini kwetu kongwa huko,niliambiwa vile vivuli ni mwanaume na mkewe wakikata kuni porini!
Kigoma
Wanadai yule ni mvuvi akihangaika kuvuta nyavu iliyosheheni samaki(migebuka)toka ziwani
Iringa
Wanadai ni baba akiwapa usia wanawe!
Wanasayansi
Wanadai mwezi umetawaliwa na maji kwa sehemu kubwa na vile vivuli ni eneo la nchi kavu...

Lakini....
Vile vivuli ni taswira ya Baba yetu Abraham akijiandaa kumchinja mwanae mpendwa Isaka.

Over.
 
Aliyetakiwa kuchinjwa ni Ismail. Achana na wapotoshaji wa maandiko.
 
Haaaah. Haaah. Haaah. Hata ile michezo kama Kombolela, mida ya jioni haipati watoto kama tu home kumepikwa wali!
Mom akee alikuwa mkali,kumi na mbili uwe ndani.Ko hizo michezo za jioni zilikuwa zanipita haswa!!! Ila taarifa za wali lazima wazipate huko walipo
 
Mbalamwezi ikiwa kwenye umbo lake kamili huwa kuna vivuli fulani vinaonekana pale,hivi vivuli vinazungumziwa kwa namna mbalimbali kulingana na mawazo na mazingira tofauti,mfano:
Dodoma
Nikiwa mdogo kijijini kwetu kongwa huko,niliambiwa vile vivuli ni mwanaume na mkewe wakikata kuni porini!
Kigoma
Wanadai yule ni mvuvi akihangaika kuvuta nyavu iliyosheheni samaki(migebuka)toka ziwani
Iringa
Wanadai ni baba akiwapa usia wanawe!
Wanasayansi
Wanadai mwezi umetawaliwa na maji kwa sehemu kubwa na vile vivuli ni eneo la nchi kavu...

Lakini....
Vile vivuli ni taswira ya Baba yetu Abraham akijiandaa kumchinja mwanae mpendwa Isaka.

Over.
Naona umeamua kunianzishia uzi mzee baba!!
 
kuwa mwanzo au mwisho hakumaanishi ukweli
Ukweli ni huu biblia inasema isaka Ndiye alie takiwa kutolewa kafala ila waarabu wamegeuza na wanamtaja ishimael mtoto wa kijakazi wa kimisri kwasababu tu ni mwarabu hapo ndo quran ilipo potosha Ishmael alikuwa mtoto wa zinaa kwasababu alizaliwa nje ya ndoa ila kwa vile ni mwarabu quran imetumia nguvu kubwa ku mpromote tubishane kwa hoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom