Mbagara noma teja anauza cm ya mtu ikiwa bado hajaiiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbagara noma teja anauza cm ya mtu ikiwa bado hajaiiba

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mussa kiraka, Apr 5, 2012.

 1. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilikua nipo stand na msubiri rafiki yangu gafla akaja mlevi wa unga (Teja) na mtu mwengine kufika nilipokaa wakaanza kuulizana bei utanipa shilingi ngapi? jamaa akamjibu lakin yule teja hakuridhika na ile bei wakaendelea kubishana teja anasema ongeza pesa jamaa akawa anakataa mwisho teja akakubali ile bei ndipo akaja hadi pemben kwangu na kumwambia abiria aliekua anasubir usafir oya toa iyo cm fasta kabla jamaa hajagaili yule abiria akawa ataki teja akamtia ngeta kachomoa simu akampa mshkaji akamlipa alafu akasepa
   
 2. serio

  serio JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 769
  Trophy Points: 280
  heeeeeee....dar sio majengo..
   
 3. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli dar sio majengo. ila majengo tanga
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,176
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  eheeee, ya kweli hayo?na nyie mnaangalia tu?
   
Loading...