Ngoja nikukumbushe nyimbo ya shida mkuu Lukolo Mkuu Mbuzi MzeeNchi gani hii? Yaani waafrica utafikiri tuna laana. Tunaweza kudhani ni watanzania tu wenye shida lakini unaona na weusi wengine na wenyewe ni shida tupu.
Nchi gani hii? Yaani waafrica utafikiri tuna laana. Tunaweza kudhani ni watanzania tu wenye shida lakini unaona na weusi wengine na wenyewe ni shida tupu.
Nadhani ni CongoNchi gani hii? Yaani waafrica utafikiri tuna laana. Tunaweza kudhani ni watanzania tu wenye shida lakini unaona na weusi wengine na wenyewe ni shida tupu.
Mbuzi Mzee, usinifanyie hivyo, mwenzako nitaporwa mke. Niko huku ukweni Mbagala, halafu nimewafungulia kwa mashamsham treni mpya atakayowaletea Mwakyembe, nyumba nzima imeninua.
sio daladala tu, hata ndege ikipita angani wanaiangalia kwa jicho la tamaaa ili waingilie madirishaniHa ha ha.. Waombe radhi wakazi wa Mbagala Mbuzi Mzee.. Japo wanajulikana mabingwa wa kupandia madaladala dirishani ila huko parefu kwao..
sio daladala tu, hata ndege ikipita angani wanaiangalia kwa jicho la tamaaa ili waingilie madirishani
serious??????? Mama mwenye nyumba wangu atafurahiaje? maana nilioa ili kukwepa vishawishi vya mama mwenye nyumbaHata kama ulikuwa usamehewe na wakwe hapo umebugi meeen, utanyaganywa mke shauri lako.