Mbagala ni sehemu ya hovyo, unajengaje nyumba ya kifahari Mbagala?

Ndio maana akasema mtu unapesa unajengaje nyumba ya kifahari mbagala?. Msipindishe maada, yeye kaongelea watu wenye pesa suala la kusema kipato cha chini hao hajawaongelea.
Hakuna mwenye pesa anajenga Mbagala? Hivi hawa wanaonunua nyumba na kufutua maghorofa pale Mbagala ni masikini?
Mbagala gani kwanza unaizungumzia hapa.
 
Ukiwa na pesa jenga nyumba za biashara then pangisha, usipo faidi wewe basi watafaidi wajukuu zako.
 
Wengine tunapenda kukaa uswahilini,
Uswahilini, ukiweka geti tu, kila mtu anakujua. Hata ukipata mgeni unamwambia tu shukia kituo flani halafu chukua toyo mwambie akupeleke kwa flan pale penye geti jekundu na unafiki.
Hayo mambo ya kujenga mbezi beach ww ndo uwe masikini, while kwa hela hizohizo unaweza onekana kipusa nan anataka
 
ukiwa na Mentality hizo utachelewa sana .

Miaka ya nyuma wakati tunaishi Osterbay, mzee wangu alikataa kiwanja kikubwa mno pale Bunju A , just opposite na shule almost eneo lote lile ambalo kwa sasa kuna biashara nyingi .

Sasa yeye alipewa bure enzi za Mkapa.

Akasema aaah mm sitaki porini huko, hata watoto zangu siwezi kukubali wakaishi porini. Leo ndio hiyo Bunju unayoisifia.

Just you need to work on yourself and be open minded. Usiwe kama NGOSHA , and I doubt wewe ni MSU-****. Honestly Mtoto aliyekulia town hawezi kuandika ulichoandika.

wasukuma mrudi kwenu kuchunga ngombe, ndio kazi yenu.

Nimekaa almost TZ yote hapo Dar , je unaweza kunitajia sehemu ambayo hakuna Uswahilini ? Unaweza kunitajia sehemu ambayo utaishi kwa raha kabisa hapo Dar ?

Mimi ninanyumba mbezi beach kwa Zena na sitokuja kuishi huko.

kipindi cha mvua ndio utajua TZ Hakuna sehemu nzuri ya kuishi, Almost majumba ya kifahari yanaingia maji hapo Mbezi Yaani no Life; huko bunju kote kipindi cha mvua ni kero. Mbezi beach kila miezi 3 nilikuwa naita Gari kunyonya maji tu . Maisha ya kifala.

Mikocheni kuna uswahili na vibanda vibanda , na watu wanapanga laki 3, nilishawahi kwenda Mikocheni kwa bro wangu alipanga kwa laki 4, nilipofika kwake nilimwambia unapoteza hela unakaa sehemu chafu Na hovyo kwa gharama kisa MIKOCHEN, I told him get life this house is hell. Hapo magomeni, masaki na msasani kote hakuna uswahili ?

Yaani ni wapi TZ utaishi kwa raha ? Raha ya kuishi inaanzia kwa mazingira ya nje, je ni wapi !

Sasa kwa taarifa yako the best place to live ni huko unapopaita MBAGALA na Ukanda huo wote. Ushawahi kusikia mbagala na Ukanda huo wote kuna mafuriko ? Au njia zimefungwa kwa maji kujaa ? Na Ngosha anawawekea mwendo kasi !

Na mbagala ni market place kama KKO, ndio Maana nasema utachelewa sana kwa kuwa una mentality very fishy !

Lakini pia you sound like umeleta Hii Mada ili upate ushauri, seems like unataka kununua huko mbagala au kujenga but kuna some people wana ku discourage, so umekuja na uzi wenye negative suggestions ili upate maoni ya dhati ya watu. Acha huo ujinga, nenda kafanye maendeleo kama umepata fursa huko , utakufa ukiwa luza ikiwa unahitaji influence za watu.

Mkuu umeongea kwa uchungu sana. I feel you bro :-
Mpaka unawapa mifano jinsi mshua alivyopewa kiwanja na Mkapa..duh..Mji mzito sana huu!

Ngoja tulioingia mjini kwa mbio za Mwenge tuendelee kujifunza kwa vijana wa mjini. Kwangu mimi bado naamini mjini ni sehemu ya kutafuta.

Ukitaka uishi Maisha quality..basi nenda kajenge mkoani (nice weather, food, less pollution, etc). Ila kwa sababu ya hali zetu duni za kiuchumi ndo maana tunapambana kuishi Dar es salaam, sehemu tunayokula ugali tumevua mashati.
 
Sijui kwanini napachukulia Mbagala kama sehemu ya hovyo namna hii.

Kule ni pahovyo sana uswahili ni mwingi sana.

Nyumba zinajengwa jengwa hovyo tu bila mpangilio Mbagala ni Tandale ijayo maana nyumba zinajengwa kiajabu ajabu sana.

Mitaa yenye mambo ya ajabu ni mbagala yaani nikachezee pesa nikajenge mbagala nitakua mzima?

Mtu na peza zake anaacha kujenga mjengo mkali huko bunju mbezi kinyerezi au angalau basi Chanika eti anaenda kujenga Mbagala, Vikindu, Kisemvule sijui wapi huko tena.

Acheni kuchezea pesa sijui napachukuliaje Mbagala yaani ni sehemu ya ajabu mno.

Mfano mrahisi tu Tuchukue eneo la kimara tu Jaribu kuiwaza kimara huku ukiilinganisha na mbagala kisha kuna picha utaipata kichwani

Utagundua kabisa kwamba kimara ni mara 1000 ya mbagala huwezi kuta kimara watu wanacheza vigoma vya ajabu ajabu huwezi kuta kimara watu wakila utumbo na miguu ya kuku huwezi kukuta kimara watu wakigombea daladala na kupitia dirishani lakini mbagala yapo hayo

Tahadhari:Nyumba za chini ya kiwango aka lipua nihamie zinapatikana maeneo ya mbagala, pakifuatiwa na vikindu Temeke na kisha g.mboto ulongoni haya maeneo nyumba zao nyingi ni za chini ya kiwango mfuko mmoja wa cement unafyatua matofali 100 ujenzi mbovu nyumba zinajengwajengwa tu hovyo vichochoro ndo vingi mwisho nyumba zinasongamana tu hata gari haiwezi kupita
Kwa mtazamo huu ina maana Mbagala haitabadilika. Ila wakitokea watakaojenga nyumba bora kwa mpangilio, pengine hata zilizo hovyo zitabomolewa na kukufanya eneo lipendeze.
 
Kiukweli Mbagala hapana aiseee!! Kumekaa KISHAMBA SANA.
Mshamba huwa hajui maana ya ushamba huna nyumba mjini kitu unachomiliki cha dhamani ni simu ya 150,000 ila unaponda maisha ya mji wote.
Hakuna anaishi vizuri mwenye muda wa kuja kuandika ujinga huu mitandaoni.
 
Nahonyo naona unapovuka. Pole sana ila huo ndio ukweli kumekaa Kishamba sana. Kwana nadhani ni sehemu pekee kwa Dar ambapo ukifika Stand unakuta robo ya watu wanaongea KILUGHA, yaani stand ya mabasi Mbagala ni Kimakonde kwenda mbele.

Pili fuatilia mitandaoni uangalie matangazo ya kuuza nyumba, utaona Mbagala inaongoza kwa nyumba nzuri zinazouzwa kwa bei ndogo sana na unakuta nyumba inatangazwa hadi miaka miwili .

Nina jamaa zangu wengi walijenga huko na baadae walipopata furusa ya hela wakaamua kujenga maeneo mengine. Ukiuliza sababu hawasemi zaidi yakudai kuwa kumekaa KISHAMBA SANA NA KUSHOTO MNO
 
Unazungumzia mbagala ipi.. Hv ukiacha sehemu walizopanga wakoloni na nyumba za kwanza za uhuru Kuna sehemu imepangika hapa dar kote kunafanana uende kimara mbezi gongo la mboto tandika mabibo mwenge kote upuuzi mtupu
 
Nina demu mmoj kanielewa sana kwao ni huko mbagala mimi niko makao makuu hapa.. huko mkoani daslam tabia za wanawake wa mbagala zikoje? Ni wale wanaokata viuno kwenye vigoma huku wanamwagiwa maji au? Maana haya mambo yako huko mikoani hasa daslam
Ulizotaja hapo ni tabia binafsi za mtu hazitokani na sehemu anayotka kukata mauno kwenye ngoma hata mikocheni wanajua kwakuwa hayo mambo sikuizi hayafanyiki kwa siri tena kama zamani
 
Hakuna mwenye pesa anajenga Mbagala? Hivi hawa wanaonunua nyumba na kufutua maghorofa pale Mbagala ni masikini?
Mbagala gani kwanza unaizungumzia hapa.
Ndio mtoa mada anajiuliza iweje unafedha ya maana unaenda kujenga mbagala. Inamaanisha huyu mwenye fedha ya kuweza kujenga jumba la kifahari angeweza kutafuta eneo tulivu. Hata mm mwenyewe nafedha yangu ya maana nkajenge sehemu ya kuombana ombana chupi, full vikao vya kusengenyana, mara sikuhizi akipita na gari Wala hasimami kusalimia watu.... No no kbsaa.
 
Nami naomba ajibu hili swali, kwanini iwe Mbagala? Kuna nini? Kwanini asiseme Kinondoni Mkwajuni au Tandale? Kwanza hakuna viwanja Mbagala.....yeye mawazo hayo anayatoa wapi?

Hata wewe ukipata fedha huwezi kujenga sehemu ya zamani yoyote ile. Lazima uende sehemu ya nje....Mondi kajenga Madale, Samatta kajenga Kibada unadhani kwanini?
 
Nafikiri kaizungumzia mbagala km mfano wa maeneo yenye uswahili mwingi
 
Ndio maana akasema mtu unapesa unajengaje nyumba ya kifahari mbagala?. Msipindishe maada, yeye kaongelea watu wenye pesa suala la kusema kipato cha chini hao hajawaongelea.
Hebu kaa upande wa wanaoishi mbagala halafu rudia tena kuisoma mada labda utanielewa.

Na nikikuuliza huu uzi unayasifu maeneo mazuri zaidi ya kwenda kuishi au unayaponda maeneo fulani ambayo kuna watu wanaishi, utasemaje?

Ilikuwa inatosha kwa yeye kuwaeleza watu wapi pazuri zaidi kwa wenyepesa kwenda kujenga huko, lakini sio kuyaponda maeneo yanayoishi masikini.
 
Sijui kwanini napachukulia Mbagala kama sehemu ya hovyo namna hii.

Kule ni pahovyo sana uswahili ni mwingi sana.

Nyumba zinajengwa jengwa hovyo tu bila mpangilio Mbagala ni Tandale ijayo maana nyumba zinajengwa kiajabu ajabu sana.

Mitaa yenye mambo ya ajabu ni mbagala yaani nikachezee pesa nikajenge mbagala nitakua mzima?

Mtu na peza zake anaacha kujenga mjengo mkali huko bunju mbezi kinyerezi au angalau basi Chanika eti anaenda kujenga Mbagala, Vikindu, Kisemvule sijui wapi huko tena.

Acheni kuchezea pesa sijui napachukuliaje Mbagala yaani ni sehemu ya ajabu mno.

Mfano mrahisi tu Tuchukue eneo la kimara tu Jaribu kuiwaza kimara huku ukiilinganisha na mbagala kisha kuna picha utaipata kichwani

Utagundua kabisa kwamba kimara ni mara 1000 ya mbagala huwezi kuta kimara watu wanacheza vigoma vya ajabu ajabu huwezi kuta kimara watu wakila utumbo na miguu ya kuku huwezi kukuta kimara watu wakigombea daladala na kupitia dirishani lakini mbagala yapo hayo

Tahadhari:Nyumba za chini ya kiwango aka lipua nihamie zinapatikana maeneo ya mbagala, pakifuatiwa na vikindu Temeke na kisha g.mboto ulongoni haya maeneo nyumba zao nyingi ni za chini ya kiwango mfuko mmoja wa cement unafyatua matofali 100 ujenzi mbovu nyumba zinajengwajengwa tu hovyo vichochoro ndo vingi mwisho nyumba zinasongamana tu hata gari haiwezi kupita
Kwa hiyo watu wote wake kujenga Manzese unakokaa kwa shemeji yako wakati dada yako hayupo?
 
Back
Top Bottom