Mbagala muda huu tupo gizani, nikisema Makamba hafai mnaona nina nongwa

Tangu jana saa 3 usiku, umeme ndo unarudi saizi

Huyu angeungana na sabaya tu
 
Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa. Huyu waziri ana faida gani kwetu? Nikisema mnaona mm namchukia.
Ukiona wanatengeneza crisis ya umeme, wapo mbioni kuleta makampuni ya kutunyonya damu kwa kisingizio cha kuja kurekebisha hali.......
 
Namualika Msemaji Wa Tanesco Hapa JF
Atakupa Majibu Mazuri Sana
Account Yao JF Inafanya Vema Kujibu Maswali/Hoja/Dukuduku/Manung'uniko

Waziri Ampandishe Cheo Mwendesha Account Haogopi Lolote
 
Wapuuzi jamaa, kuongoza waTZ ni shida, wajinga wengi sana and wanapenda kudanganywa na cheap politics za majukwaani, tangu lini suala la kukatika umeme likawa la Waziri? Waziri siyo mtendaji wa wizara Bali ni msimamia sera
...Sera ya Kutokatika Umeme Ovyo Nani anaisimamia?? Punguzeni Upambe....
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom