Mbagala muda huu tupo gizani, nikisema Makamba hafai mnaona nina nongwa

Kuna kipindi miaka ya 2014-15 Transfoma za hapo rangi tatu zilikuwa zinabutuka zinagonga shoti ya kufa mtu umeme unakatika.

Mara shoti duka limeungua huko mbagala ni balaa sana vurugu za maisha ni za kufikia, wanakata umeme kwa sababu wamewazoea hamna pa kwenda. Poleni sana ndugu zangu.
 
Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa. Huyu waziri ana faida gani kwetu? Nikisema mnaona mm namchukia.
Si mlisema anaupiga mwingi?
 
Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa. Huyu waziri ana faida gani kwetu? Nikisema mnaona mm namchukia.
Makamba ndio yuko kwenye mitambo ya Tanesco? Je, kama mnafanya kusudi kukata Ili mje kuanzisha thread jukwaani kwa sababu za chuki zenu tuwasaidiaje?

Acha ujinga ni lini umeme ulikoma kukatika nchi hii?
 
Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa. Huyu waziri ana faida gani kwetu? Nikisema mnaona mm namchukia.
Hii nchi inahitaji moyo mgumu usiokata tamaa la sivyo utaugua sonona
 
Makamba ndio yuko kwenye mitambo ya Tanesco? Je kama mnafanya kusudi kukata Ili mje kuanzisha thread jukwaani kwa sababu za chuki zenu tuwasaidiaje?

Acha ujinga ni lini umeme ulikoma kukatika nchi hii?
Wapuuzi jamaa, kuongoza waTZ ni shida, wajinga wengi sana and wanapenda kudanganywa na cheap politics za majukwaani, tangu lini suala la kukatika umeme likawa la Waziri? Waziri siyo mtendaji wa wizara Bali ni msimamia sera
 
Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa. Huyu waziri ana faida gani kwetu? Nikisema mnaona mm namchukia.
Umeme umekatika mtaani kwako tu, mbona maeneo mengi ulikuwepo, Charambe, Kibondemaji, Kwambiku, acha hizo kama unatatizo na Makamba usituhusishe wengine kutumia kigezo cha umeme, Tanesco ndio wahusika wakuu wa umeme na Makamba si waziri wa umeme.
 
Back
Top Bottom