Mbagala kwenda mtoni kwa azizi ally foleni ya kufa mtu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbagala kwenda mtoni kwa azizi ally foleni ya kufa mtu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Oct 1, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Wadau nasikia kuna bonge la foleni kuanzia zakhem mpaka kwa aziz ally round about,kuna nini huko?
   
 2. R

  Raph Senior Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ni watu wametoka kwenye mishe mishe
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Si nyie mlikubali kujengewa Dar Live Mbagala, sasa hiyo ndo madhara yake maana hata mkubwa alisema ukitaka kula lazima uliwe sasa mnaanza kuliwa mnapiga mayowe
   
 4. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Ukweli ni kuwa kumekuwa na foleni hizi tangu uanze ujenzi wa barabara ya Kilwa baada ya Magufuli kuikataa ile ya kwanza.
  Foleni imeongezeka zaidi pale wanapofunga pande mbili za barabara na kuruhusu kaeneo kadogo katumiwe na watu wote wa pande mbili...mfano ni pale darajani Mtoni, magari yanaminya pande zote ili kupita. Juzi Jumamosi nilitumia zaidi ya saa moja na nusu kuvuka hako kaeneo kaliko tajwa.
  Ukitaka salama lazima uwahi kutoka kama unakaa maeneo ya Mbagala au uwahi kurudi au uchelewe kurudi.
  Inakera sana kwani hata maji hawamwagi kwenye mavumbi waliyotengeneza wenyewe
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Yap J1 kulikuwa na foleni kali sana naambiwa kutoka mbagala zakhem hadi daraja la mtoni ni masaa ma4,kuna Bus linaitwa J.MRISHO INVESTMENT ndio limeziba barabara,Foleni imeanzia Uhasibu mpaka Daraja la mtoni,watu wanatembea kwa mguu gari aziendi ndio nipo nachukua taarifa.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ujenzi wa Barabara ya magufuli ndio chanzo.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Yap mishe mishe...+madaladala.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  hayamadaladala hayajafutwa tu
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Yapo ya kukinga
   
 10. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  wASWAHILI WANASEMA HAKUNA MASIKA YASIYO NA MBU ILA ILE FOLENI IMEKUWA YA MBUNG'O NA SIO MBU.
  Leo ilinibidi na niache gari yangu pale bigbon mbagala nikachukua boda boda ili nwahi deal zangu ila cha ajabu hata hizo boda boda za kichina zilitengeneza foleni yake.
   
Loading...