Mbadala katika uongozi utakaoleta ufanisi kwa nchi maskini kama Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbadala katika uongozi utakaoleta ufanisi kwa nchi maskini kama Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WomanOfSubstance, Nov 11, 2009.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Nauliza swali la kizushi tu hivyo mnisaidie na msinishambulie.
  Ukiangalia failures nyingi zinatokana na watu wanaopewa dhamana katika uongozi.Nikapata wazo, kwani ni lazima kufuata mfumo uliopo siku zote kama desturi na sheria?Kwani lazima kuwa na utitiri wa wizara na mawaziri? makatibu wakuu, wakurugenzi na deputies wao? Hivi ukubwa ndio kuwa na ufanisi? Gharama za kuibeba serikali kutokana na ukubwa wake inatupa faida? do we get value for money? Ukiangalia kwenye mawizara na taasisi ( MDAs) za serikali hao viongozi wote wanahitajika? Kwanini tusiwe na viongozi wachache tu halafu wataalamu ndio wazidi? - Tuwe na advisors badala ya wakurugenzi na deputies ambao huzoa mapesa lukuki kama stahili zao na hata kupelekea kushusha ufanisi maana ukiangalia wanaofanya kazi watakuwa ni maofisa wa kawaida wenye vimishahara viduchu.
  Ingekuwa murua kama vongozi wote wenye kupata mafao makubwa wapewe mikataba ya ufanisi ( Performance contracts) na iwe ya vipindi vifupi not more than 5 years kuendana na term ya uongozi wa raisi.In between wafanyiwe performamnce appraisal kama mtu hajafikia malengo basi aambiwe bye bye ili mtu mwingine achukue nafasi.Hii ingesaidia sana kuleta ufanisi na pia ingewezesha wananchi wengi zaidi kufaidi keki ya taifa na siyo wachache wanafaidi hadi miaka 20 kama vile Tanzania itasimama wasipokuwepo.Mbona wakifa wanapata replacement haraka tu? No one is indespensable!
   
 2. K

  Kabogo Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaa this is true kuna vyeo vingine mm vinanikera sana kama mkuu wa wilaya mm sion kazi yake ni nn wakat tuna mkurugenzi katka halmshauri na mmbunge.
  Utitiri wa vyeo katika serikali yetu imepelekea underperfomnce ya mikakati mingi
  Ifike wakati tuwe na wizara chache tukazisimamia vizuri na kuleta tija kwa taifa letu
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Inakuwaje uongozi wa juu halioni hili kama tatizo?
   
Loading...