Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Ndio maana nilitangulia kusema kama ishu ni nani awahi kufika basi mjue tu kinachomata ni dereva! Mara nyingi barabara ambazo mjerumani atatamba ni ambazo hazina mazonge yani njia iwe mnyooko tu wa hatari ila ukabidhiwe LC300 VX-R 410HP halafu sijui mwengine ana BMW X5 kwa njia zetu za bongo kipigo kinaweza kikahusika vyema tu.

Sababu under traffic conditions za kibongo ambaye mzoefu zaidi wa barabara atatangulia hata kama ana GX110 tu

Mie mwenyewe hunichapi kizembe yani nikiwa na mashine inayoeleweka! Yani uwe na 2GR halafu 300HP plus kuna gari gani itakusumbua hapo highway! Ukiupata mnyooko wa bagamoyo tu ni maangamizi yani una weave ile kiroho mbaya dakk 0 umechomeka na kurudi site yako! Yani nikifloor pedal rpm 7 ikivuta ikaachia mzee niko gari ya 3 mbele dkk 0 tu!
Labda muwe mnapita mapori ya kamsamba huko.

Ila kwa hizi barabara tunazopita kila siku? Hiyo BMW inakuacha mbali sana.

Hizo gari zipo barabarani na tunazitumia.

Tena kuna golf kibao huko barabarani zinawachapa tena hazina hata nguvu ya maana ila zinawakalisha.

Kuna wakati nilikuwa nasafiri na Vanguard, naanza kile kijangwa cha same ikanipita benz c180. Ile gari ilinisumbua mpaka tunafika mwanga, pona yangu ilikuwa kwenye matuta, ikipunguza speed ndo naikaribia. Hata nikiwa 170kph huifikii hata kidogo.

Gari za mjerumani msizidharau kiasi hiko. Nina mifano mingi sana ya mabalaa yake hayo magari. Na huwa nasafiri nazo tena za kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningemnyoosha sema mazingira hayakuwa conducive kwangu! Mandela road huwa ndio sehem ya kuoneshana makali hasa ikifika mida ya saa 4 hivi panakuwa peupe sana kuanzia kijazi mpaka mataa ya relini ni moto tu! Hamna BMW,Nissan wala Audi ni kichapo tu
Hivi ujasiri wa kukimbiza mjini mnautoa wapi?

Hata unipite na 200 sihangaiki na wewe. Ila kama tunasafiri kwenda mf arusha, nikishapita ile round about ya bagamoyo. Nakupelekea moto labda uwe na gari imenizidi uwezo. Nakuwa mpole, nakufuata nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye ligi za hapa bongo cha muhimu ni dereva wa chombo cha moto, hata uwe na BMW sijui twin turbo cc 9000. ukikutana na dereva wa bodaboda halafu kapiga k vant au kiwingu cha kutosha ukianza naye ligi yeye hana cha kupoteza ni mwendo wa mbwa atakupita kama umesimama🐒
 
Hivi ujasiri wa kukimbiza mjini mnautoa wapi?

Hata unipite na 200 sihangaiki na wewe. Ila kama tunasafiri kwenda mf arusha, nikishapita ile round about ya bagamoyo. Nakupelekea moto labda uwe na gari imenizidi uwezo. Nakuwa mpole, nakufuata nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mazingira yenyewe mkeka wa mandela road unakuwaga msafi sana kuanzia ngoma 4-5 hapo trafic lights zinaenda sleep mode!
 
Labda muwe mnapita mapori ya kamsamba huko.

Ila kwa hizi barabara tunazopita kila siku? Hiyo BMW inakuacha mbali sana.

Hizo gari zipo barabarani na tunazitumia.

Tena kuna golf kibao huko barabarani zinawachapa tena hazina hata nguvu ya maana ila zinawakalisha.

Kuna wakati nilikuwa nasafiri na Vanguard, naanza kile kijangwa cha same ikanipita benz c180. Ile gari ilinisumbua mpaka tunafika mwanga, pona yangu ilikuwa kwenye matuta, ikipunguza speed ndo naikaribia. Hata nikiwa 170kph huifikii hata kidogo.

Gari za mjerumani msizidharau kiasi hiko. Nina mifano mingi sana ya mabalaa yake hayo magari. Na huwa nasafiri nazo tena za kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah mjerumani ana balaa ila kipigo anakula vizuri tu kama una mashine ya maana! 2GR ijaribu siku ukipata wasaa tena ikiwa na 260kph ndio mwake
 
Back
Top Bottom