Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,989
- 173,597
Heheheh huyu mtt mdogo sana huyu
Heheheh huyu mtt mdogo sana huyu
Hamna pa kutoboa mjapan arudi darasani kujifunza tazama hata chuma kilivyo sex ndaniHeheheh huyu mtt mdogo sana huyu
ebu angali na hii kwa ndani, sio hiyo yako gari kama banda la njiwa kwa ndaniHeheheh nikiwa humu utaelewa kilichomtoa kanga manyoya😅
View attachment 2026418View attachment 2026419View attachment 2026420
Kijana.
Nikikupa huyo M4 ana mwaga hadi 330kmh.. Mjapan akaanze kusoma tutorial za mjerumani kwenye uumbaji wa magariHeheheh huyu mtt mdogo sana huyu
Paka sasa hivi nimebaki na Audi na BMW kwenye mchuano wangu😄😄😄Kijana.
Wajerumani wanajua kuumba magari, usipoweka vigezo vyako, utashindwa kuchagua gari.
Ukitaka uzuri, unaupata. Ukitaka nguvu, unapata. Ukitaka speed, unapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mm sitaki tena gari za chini. Maana tunaishi mabonden
Moto wa LFANikikupa huyo M4 ana mwaga hadi 330kmh.. Mjapan akaanze kusoma tutorial za mjerumani kwenye uumbaji wa magari
View attachment 2026461
Nikiwaweka kubwa yao mtabaki mseme nawaonea 😀😀😀😀
OmicronNikiwaweka kubwa yao mtabaki mseme nawaonea 😀😀😀😀
LFA ina sauti tamu sana. Yamaha walifanya vitu sio poa kuitune ile sauti. Ile sauti unaweza ukachukulia mkopo benki.
Porsche? Hata Cayman inakufaa.Paka sasa hivi nimebaki na Audi na BMW kwenye mchuano wangu
LFA ukifunga Akrapovič yanatokea mauaji ya kimbari.LFA ina sauti tamu sana. Yamaha walifanya vitu sio poa kuitune ile sauti. Ile sauti unaweza ukachukulia mkopo benki.View attachment 2026483View attachment 2026484View attachment 2026485
Porsche sijawai zifatilia hizi gari kabisa, ingawa nasikia mziki wake sio wa kitoto
Kabisa aise. Majirani lazima watakuwa wanakuja na notisi ya kukuita serikali ya mtaa kila ukiliwasha alfajiri.
We jamaa banaInajitahidi...
Volvo XC90 V8 B8444S EngineLFA ina sauti tamu sana. Yamaha walifanya vitu sio poa kuitune ile sauti. Ile sauti unaweza ukachukulia mkopo benki.View attachment 2026483View attachment 2026484View attachment 2026485
Volvo XC90 V8 B8444S Engine
Hii engine ilitengenezwa na Yamaha 2005-2010. Ila haipo tena.
Sikia sauti hiyo!
Hiyo speed kwa barabara zetu za Bongo na uendeshaji wetu usiozingatia sheria ni sawa na Kubeep kifo tu!Ukiwa na 250hp na top speed ya 260kph upo juu ya magari almost 90% ya Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu sio mjapan, umeficha ficha leta picha nzima ya gari hadi staring