MBA UDOM: Lecurer kafaulisha 6 na kukamata 28

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
wakuu hamjambo?!!
Nilikuwa naperuzi mtandao kutafta chuo nikatimize ndoto yangu ya kupata MAsters ya Biashara!

nimefungua UDOM WEBSITE nikakutana na kali ya mwaka aisee.... wanachuo 34 wamefaulu 6 tu katika coursework!!! aaaagrrrrrr
 
Unafikiri hiki chuo unakuja kuchukua digrii au masters? Digrii inatafutwa hapa sio vyuo vile vya Arusha
 
Huyo ni ---- fulani mzanzibari anaitwa cartoum anachafua chuo mtu mwenyewe yupo shalo kinoma kuna mdogo wangu kasoma hapo wamemgomea hata hizo sup hawajafanya kesi ipo kwa mkuu wa chuo
 
Huyo ni ---- fulani mzanzibari anaitwa cartoum anachafua chuo mtu mwenyewe yupo shalo kinoma kuna mdogo wangu kasoma hapo wamemgomea hata hizo sup hawajafanya kesi ipo kwa mkuu wa chuo

Alifundishaje mpaka assessment grades ndio ajulikane shallow???!!
 
Kama ni Mzanzibar atakuwa ni wa QM, alitokea UDSM (FCM - Sasa UDBS), Sisi alitusumbua sana kwenye MBA (UDSM/UDBS) - 2003. Watu wengi walikamatwa QM.
 
hiyo hata kama ipo isikutishe kaka shule huendi kuchukua unasoma kamanda nenda pale kapige kitu
 
Poleni sn wanaUDOM kwa yaliowakuta....
Anyway si mbaya sana km kawakamata kwny course work, ingekua thesis hapo ingekua mbaya sana. Ila mi nadhan hapo lengo lake ni kuwaweka tua attention ili mkafanye vizur kwny thesis zenu msije mkanunua na kuedit tu bila kushughurika.
 
QM Kamata kamata mbaya, Huyu jamaa aliwatenda wengi sana pale Mlimani hata ukiongea naye anasema maisha ya Probability siyo mchezo.Mwaache aende zake.............:frusty:
 
Kama ni Mzanzibar atakuwa ni wa QM, alitokea UDSM (FCM - Sasa UDBS), Sisi alitusumbua sana kwenye MBA (UDSM/UDBS) - 2003. Watu wengi walikamatwa QM.

Kama ni huyo (Ami) mnamuonea aisee maana alikuwa yuko vizuri sana kwenye QM nalikuwa hakamati ovyo. Watoto siku hizi ndo vilaza.
 

Press Release
Celebrating Nelson Rolihlahla Mandela

The University of Dar es Salaam will join the world in celebrating the life of the African Icon, Madiba. Date: 14[SUP]th[/SUP] December 2013-12-13 Time: 10:00AM – 01:00PM (Saa 4:00 Asubuhi mpaka saa 7 Mchana) Venue: Nkrumah Hall Highlights of the Programe: · Reminiscences from different distinguished scholars · Tribute from Mwalimu Bashiru · Mandela: The Icon of Africa by Hon. Judge Joseph Sinde Warioba
You’re all cordially invited
 
at least chuo kinaanza kuwa na sifa stahik sasa maana mlikuwa mnasema cha kata
chuo kufelisha watu ndio kinakua na sifa????????hii nihoja dhaifu sana sijawahi kusikia,hii ni mentality ya kusoma hapa bongo,kufanya mtihani mgumu ndo unadhani uko fiti,km ndio hivo tanzania yungekua tuna wataalam au wavumbuzi wengi sana,hujasikia wenzako havard,mtu akifeli sana anapata a na akifaulu sana anapata a,hakuna anaefeli hata awe kilaza vipi lkn ndio chuo bora duniani,saa chako cha mitihani migumu na sap za kutosha ni cha ngap??????
 
Back
Top Bottom