MBA in Finance VS MBA in Accounting and Auditing ya Open University

Financial Freedom

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
1,244
2,290
Habari wadau wa Elimu,
Nipo njiapanda kuchagua kati ya hizo Masters mbili tajwa hapo juu lengo nifanye ACCA na CPA(T) baadae.

Napokea mawazo na ushauri kutoka kwenu wakuu.Karibuni
 
Ningekushauri ukaanza na ACCA au CPA kwa pamoja then baadae uje ufanye Masters,utakuwa compitent na professional kwnye accounting.
Ahsante kwa ushauri upande wa masters ipi kati ya hizo mbili tajwa hapo juu itanifanya niwe competent
 
Ahsante kwa ushauri upande wa masters ipi kati ya hizo mbili tajwa hapo juu itanifanya niwe competent
Kitacho kufanya uwe compitent sio Masters ni wewe, juhudi zako na akili yako!

Sina uzoefu na mambo ya fedha ila hiyo ya Accounting naona iko vizuri.

Pia fwata ushauri ulio pewa hapo juu, technically mpaka sasa wewe sio mhasibu (hata kama una degree ya uhasibu)!!

Ni vyema uka pata CPA au ACCA kwanza ili ujulikane kama mhasibu ndio masters ifwate.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom