Mb. Vinzent Nyerere atoa mpya jimboni kwa Spika Makinda

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
Makinda(10).jpg


Naye Nyerere alisema anawasikitikia wananchi wa Njombe, kwani licha ya kulima miti ya nguzo za umeme, wanalazimishwa kuuza kwa Sh. 5,000, huku Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) likiuza nguzo hizo kuanzia Sh. 800,000 hadi Sh. milioni moja.

"Makinda hawatetei bungeni, kwa sababu hazungumzi. Hakuna wakati aliwahi kuwatetea wananchi wa Njombe Kusini bungeni kwamba wana barabara mbovu. Hivyo, tunataka kubadilisha Katiba ili Spika awe Spika na mbunge awe mbunge," alisema Nyerere.

Alisema kutokana na wananchi wengi wa mkoa wa Iringa kunyimwa elimu, wengi wao wamebaki kuwa wafanyakazi za ndani na walinzi na kusema kuwa Chadema inataka mkoa huo utoe madaktari bingwa na wataalamu wengine na kuwa anayetaka mfanyakazi wa ndani aende nchini India.

IPPMedia
 
Hii ya wanaotaka wafanyakazi wa ndani waende India imetulia kivyake, maana siasa ni ubunifu wa falsafa inayoweza kuleta mvuto kwa media na wapiga kura, sijuia Mama Spika Kiroborobo ajitajiteteaje?
 
kulaleki kama ni buku tano ngoja niende nikanunue zangu ili nije kujifungia umeme
 
Yes nimekubali hili neno la Nyerere kijan kumbekatulia sana. Now Makinda atasema nini? Yeye na misafara tu na kupigiwa saluti haelewi lolote zaidi
 
Jamani huyu mama makinda nikimuangalia sura lake napata hasira!! Sura baya ka nini!! Sijui mchawi huyu!!!
 
Sokwe! wana-njombe poleni mmeingia Choo cha kisichotumika. Nawaonee huruma hamna muwakilishi mjengoni
 
Makinda anang'ang'a nia kufunga mitaa Dar huku nyumbani hana habari. Pengine hizo ajira za House girls ndio lile kusudio la CCM la ajira milioni moja?
 
Ni jambo baya sana tanesco kuweka ukiritimba wa kuuza nguzo za umeme kwa bei ghali,misitu iliyopo njombe na mafinga inaweza kuzalisha nguzo za umeme kw tz yote kwa bei ambayo tungeweza kumudu.
 
Ni jambo baya sana tanesco kuweka ukiritimba wa kuuza nguzo za umeme kwa bei ghali,misitu iliyopo njombe na mafinga inaweza kuzalisha nguzo za umeme kw tz yote kwa bei ambayo tungeweza kumudu.

Wakitumia miti ya Njombe na Mufindi kamba ya mlaji itakuwa fupi, bora kuagiza toka nje kamba ya walaji itarefuka zaidi, ama hujui mfumo wa ulaji nini?
 
Makinda anang'ang'a nia kufunga mitaa Dar huku nyumbani hana habari. Pengine hizo ajira za House girls ndio lile kusudio la CCM la ajira milioni moja?
M

Mbunge na Spika Makinda, aka Mama kiroborobo si kizazi cha akina Lema yakhe, kumbuka Mama kiroborobo ni ukoo wa kichief, usishangae kujitenga na watu wa kawaida. Jihabarishe historia ya familia yao mwanamageuzi.
 
Zaidi ya Hilman Ngunangwa na Nyimbo, Wilaya ya Njombe haijawahi kuwa mbunge/wabunge wenye uchungu wa maendeleo ya watu wao.
Waliowahi kuwa wabunge ktk waliya ya Njombe kama jimbo moja au matatu ni pamoja na Jackson Makweta, Dr H Ngunangwa, Nyimbo, A Makinda, Yono Kevela, Sanga (Jah People) na Lwenge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom