Mb mwesiga kafikisha ujumbe hata kama taratibu na kanuni za bunge hakufuata. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mb mwesiga kafikisha ujumbe hata kama taratibu na kanuni za bunge hakufuata.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kitenuly, Jun 18, 2012.

 1. k

  kitenuly JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo hii asbh ktk bunge, napenda kumpa hongera MB Mwesiga kwa kufikisha ujumbe kwa wa tz kwamba baadhi ya wabunge wanapinga budget ya fedha lakini hatimaye wanaisupport bila sababu za misingi, kwa maana kwamba wanawadanganya watanzania, hongera sana mb, ingawa yule madam speaker amejaribu kupinga kwamba taratibu na kanuni haikufuatwa , lakini mwanawane watanzania ujumbe ndo huo wabunge wengi ni LONGOLONGO.
   
 2. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwa njia yoyote ile watu wapaswa kujue
   
Loading...