Mb Moses Joseph Machali

ndo nini sasa kama ni swala la msimamo kila mtu anamsimamo wake, kwa hiyo siyo ajabu machali moses kuwa na msimamo wake, hata wewe una msimamo wako, sasa cha ajabu ni nini.....???
 
kasema serikali ya kihuni licha ya bi makinda kumtaka kufuta kauli lakini kairudia tena serikali ya kihuni
 
kasema serikali ya kihuni licha ya bi makinda kumtaka kufuta kauli lakini kairudia tena serikali ya kihuni
huyu ni jamaa yangu tulisoma nae sec mkoan kigoma. Misimamo yake hyo ilimfanya mpk walimu baadh walikua wanamchukia huku wengne tukidhan kua atafukuzwa shule lakin alipambana nao mpk mwisho, huwa anapenda kusimamia anachokiamin, ndiyo maana mama makinda alipotaka kumzima nae akarejea kejeli za shelukindo alipokua akiwabeza wapinzani kwa kejeli zilezile na hakufuta kauli yake bt jambo moja nililopenda ni pale aliposema kuwa "kwa kuwa serikali mmetusahau kigoma basi mtuache tuunde Jamuhuri ya watu wa Kigoma", kwan hata Dr. W. A. Kabour aliwah kusema hvyo.
 
kasema serikali ya kihuni licha ya bi makinda kumtaka kufuta kauli lakini kairudia tena serikali ya kihuni
Sina hakika sana na jinsia yako...ila niseme kuna tofauti kati ya kusema serikali inafanya mambo ya kihuni na kusema serikali ni ya kihuni. Jifunze
 
Back
Top Bottom