Mb Madabida; Wakati Dar kuna shule nne za sekondari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mb Madabida; Wakati Dar kuna shule nne za sekondari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mo-TOWN, Jun 28, 2011.

 1. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Namuuliza Mb Madabidada je wakati Dar kuna shule nne za sekondari je wanafunzi walikuwa wanakaa chini, je walimu walikuwa hawatoshi? Ubora wa elimu ulikuwa vipi?

  Naomba mumfikishie ujumbe huu huyu mbunge.
   
 2. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  huyu mama muongo, hajui mambo
  mengi, nimeona kumbe kila mtu anaweza kuwa mbunge
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mzee Mkapa ndiye aliyeanzisha hii mipango ya maendeleo kama MMEM NA MMES. wakati anaanza na mmem aliiratibu vizuri sana na matokeo yake tuliyaona. MMES kama MMEM ilikuwa inamepangwa kujenga madarasa au shule pamoja na madawati, kulipia wanafunzi ada, kuwapa wanafunzi fedha za kujikimu, Kurecruite walimu na maabara hii ndo ilikuwa MMES part 1 lakini serikali ya mk.were imetafuna hela zote matokeo yake wamejenga shule nyingi zisizo na ubora wala madawati, hakurecruitw walimu hakuna maabara, vitabu.
   
 4. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Believe you me wabunge the likes of Beatrice wapo wengi ni wengi sana. They are really disappointing, infact huwa inabidi nibadilishe channel for while wakati characters hizo wanapoongea.
   
 5. I

  Igangilonga Senior Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo mama mimi sina la kusema juu yake hata huwaga cna hamu ya kumuangalia kutokana na alichonifanyia mlalahoi mie mwaka 2002 na mchezo wao wa kitapeli wa Upatu "Women empowering women"..........
   
 6. Fisadi Mkuu

  Fisadi Mkuu Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 7. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nice argument
   
 8. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hili ndo tatizo la kutumia siasa kutekeleza mambo muhimu badala ya kujali mbinu za kitaalam.
   
Loading...