Bora manzese imepakana na mburahati ila Tandale inatia aibu.Kama wana nia ya uboreshaji, ni kheri wangeanza na changanyikeni ya Manzese na Tandale
Waache unafki
Wake huku mkoani kuna ardhi kubwa ya kutosha na sisi wa mkoani tufaidi huo uwekezaji.Serikali inataka kutengeneza migogoro ya ardhi. Wapeleke huo mpango pembeni huko kuna meneo ya kutosha kufanya huo uwekezaji.
Ndio waanze na TandaleBora manzese imepakana na mburahati ila Tandale inatia aibu.
Kama kuna mwekezaji aonge anataka eneo lenye ukubwa gani? Ramani yake ya eneo husika na huyo mwenyeji, Haki yake ni ipi, sio mtu Yuko gizani?Hapa hakuna mnunuzi na muuzaji, bali mwenyeji na mwekezaji.
Hata mwenye nyumba wa sasa atakua ni sehemu ya mradi mpya. Hivyo chukua hii na uongeze uelewa wako.