Huyu jamaa inaeleweka kwamba anatako kuuza sura tu, viongozi wetu badala ya kuongelea vitu vyenye tija wanaongelea basketball. Namshauri bwana JK akipata nafasi tena aingiemikataba ya kushirikiana katika technolojia, tuwe na exchange za namna hiyo. Ndugu zangu Afrika tunabaki nyuma kwa sababu ya kuwa nyuma kitechnolojia. Jiuliza hapo nyumbani kwako vifaa unavyotumia ni kipi kimetengenezwa Tanzania, bila shaka hakuna na kama vipo ni vichache. Kwa hiyo mambo ya kupata nafasi ya kuongea na wakubwa tukaishai kuongelea basketball hayawezi kutufikisha popote.
Kama ni misaada tuombe yenye akili ili na wao watuone kwamba tukosensible enough.
Kama ni misaada tuombe yenye akili ili na wao watuone kwamba tukosensible enough.