Mazungumzo ya Kikwete na Obama yalihusu Basketball! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazungumzo ya Kikwete na Obama yalihusu Basketball!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Jun 14, 2009.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Jun 14, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,729
  Likes Received: 4,948
  Trophy Points: 280
  ..hii habari imeniacha hoi bin taaban. yani Raisi wa Tanzania anapata nafasi ya kuwa Raisi wa kwanza toka Afrika kukutana na Obama halafu anaanza kuzungumzia Basketball??

  ..anashindwa hata na mhuni Morgan Tsivangarai wa Zimbabwe? hawa wameonana na Obama na kuondoka na pledge ya msaada wa dola millioni kadhaa.

  ..ujumbe wa Zimbabwe ulikuwa na majadiliano na maofisa wa serikali ya Obama kwa siku nzima, na ku-conclude na mkutano kati ya Obama na Tsivangarai. baada ya hapo wakawa na press conference.

  ..jisomeeni wenyewe muone alichokwenda kufanya Raisi wetu USA. zaidi tujiulize kama kweli hicho ndicho tulichomtuma kwenda kuzungumzia White House.


  Obama urges Tanzania to develop basketball

  US President Barak Obama, has implored Tanzanians to support, promote and develop the game of basketball. Obama is a basketball fond and is well known to be a die hard fan of the NBA top side Chicago Bulls.

  According to President Jakaya Kikwete’s Assistant Press Officer Premy Kibanga, Obama passed the message when the Tanzanian president toured the US, and met Obama at the White House on May 21.

  Kibanga yesterday unveiled
  variety of gifts that President Kikwete received from Obama, including a Chicago Bulls number 9 jersey, bearing Kikwete’s name. She also displayed a ball signed by top Chicago Bulls players, including guard-Kirck Hinrich, Derrick Rose (guard) and forward Luol Deng.

  President Kikwete, who is also a basketball lover, received pictures of the top Bulls players. Kibanga said President Kikwete in kind also presented Obama with a pair of effigy made in Tanzania.
  Kikwete, who became the first African president to meet President Obama, assured his counterpart that Tanzania will continue making efforts to develop the sport to the highest level possible.

  President Kikwete has been directly involved in supporting basketball in Tanzania, the game he played competitively in school. He was the patron of the Tanzania Basketball Federation (TBF) before he was elected president in 2005.
  Last year, president Kikwete attended a basketball match of Women National Basketball Association (WNBA) league, between Washington Mystics and Chicago Sky at Veriton Centre.

  During the match, 'Basketball Diplomacy' was announced between Tanzania and the United States.
  He once had audience with US-based Tanzanian basketball player Hasheem Thabeet, and advised the towering 19-year-old to put a lot of effort both in education and sports for his own good. The president also asked the 7-foot-3-265-pound centre, who has now entered the NBA draft, to take advantage of his position as one of USA's best find to concentrate on what he is doing and refrain from engaging in unproductive activities.
   
 2. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  labda hii ilikuwa sehemu ndogo ya maongezi yao.sidhani kama yale makaratasi aliokuwa anamsomea obama yalikuwa kuhusu basketball peke yake manake yalikuwa mengi.
   
 3. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  And this is another breaking news.........
   
 4. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu uko sahihi. Ila sishangai ikiwa alikuwa namsomea vivutio vya kuwekeza Tanzania maana JK anachokijua ni kuita watu tu waje Tanzania. Pia usishangae kwenye aliyokuwa akiyasoma labda la mpira wa kikapu ndio liloeleweka
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Jun 14, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,729
  Likes Received: 4,948
  Trophy Points: 280
  ..sasa Kikwete amekwenda White House kaondoka na mapicha ya wachezaji wa Chicago Bulls.

  ..Morgan Tsivangarai ameingia White House kaondoka na ahadi ya msaada, na pia amepewe heshima ya kuwa na press conference.

  ..hivi hamuoni kwamba hii ziara ya Kikwete ina walakini, na inawezekana haina tija yoyote?
   
 6. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0

  - Ahsante sana kwa hii breaking news mkuu, endelea kutuhabarisha zaidi yaliyojiri.

  Respect.

  FMEs!
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Are you surprised?
   
 8. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani walizungumzia basketball wakati anamkabidhi hizo zawadi, nakumbuka wakati msemaji wa Obama anazungumza na wanahabari alisema walizungumzia maswala mengi kuanzia uchumi, ulinzi na maswala ya afya.
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Jun 14, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,729
  Likes Received: 4,948
  Trophy Points: 280
  Eqlypz,

  ..mwandishi wa Obama hapo alikuwa anazungumza kabla ya mkutano wa Kikwete na Obama. kwamba huenda watazungumzia usalama,afya,...mambo ya msingi.

  ..lakini kama ungeona Press Conference ya mwandishi wa Obama ungeona kabisa kwamba alikuwa haelewi na anapata shida kuelezea kitu kinachompeleka Kikwete White House.

  ..my reading ni kwamba ziara ile haikuwa na umuhimu wala ulazima wowote ule. ndiyo maana mwandishi wa Obama alikuwa hajui hata agenda ya mazungumzo yao.

  ..hii habari niliyoinyaka toka Daily News, ambalo ni gazeti la serikali ya Tanzania, inaelezea kilichojiri White House. imetolewa na mwandishi wa habari msaidizi wa Ikulu baada ya mkutano wa Kikwete na Obama.
   
 10. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,865
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Tz na Zimbabwe tofauti!

  sasa mlitaka JK asiongelee sports atembeze tu bakuli mbele ya Obama??
   
 11. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kumbuka maongezi yalikuwa ni ya siri, maana ata baada ya mkutano si Gibbs wala Kikwete waliocomment kuhusu nini kilichoongelewa.
   
 12. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  alafu wasifu wa january makamba si walisema kwamba january aliongea na obama zaidi ya jk,labda ndio maswala muhimu alipewa january makamba amuelezee obama lol.
   
 13. J

  JokaKuu Platinum Member

  #13
  Jun 14, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,729
  Likes Received: 4,948
  Trophy Points: 280
  Eqlypz,

  ..kuna picha na taarifa zinazoelekeza kwamba mazungumzo yao hayakuwa ya siri.


  Arsene,

  ..kuna picha na video clips za huu mkutano wa Kikwete na Obama.

  ..sikumuona January Makamba kama alihudhuria mkutano huo.
   
 14. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  jokakuu najua ndio maana nikasema wasifu wake nadai kwamba january ndio aliongea mda mrefu na obama kuliko jk.sasa wanajua wenyewe saa ngapi waliongea.
   
 15. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #15
  Jun 14, 2009
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hivi wa kwetu hawakufanya press conference?
   
 16. M

  Masatu JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  This is wot JF can do to a Man! of all people even you JokaKuu umeingia kwenye hizi sensationalisation .

  Mzee hufanani na haya waachie wenyewe akina Lunyungu et al
   
 17. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,709
  Likes Received: 3,117
  Trophy Points: 280
  jamani lets be realistic!!! huyu mzimbabwe alipewa press conference nadhani ni kwa sababu of what is going on in Zimbabwe. mnataka kusema kila kiongozi anayekutana na Obama basi anapewa press conference. Hata kama kiongozi wetu ana mapungufu lakini nadhani yeye kukutana na rais wa Marekani lilikuwa na umuhimu wake. Kuzungumzia basketball nadhani ni katika mazungumzo tu sio kwamba ndiyo ilikuwa agenda kuu.
   
 18. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mimi nilijua na nilisema kwamba wataongea basketball, both being known basketball fans.

  Last time Kikwete alivyokutana na Bush White House aliondoka na viatu vya Shaq. Hakuna ubaya kuongea basketball diplomacy baada ya kukata issues, ila I am concerned muda wenyewe haukutosha kuongea issues let alone basketball.
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  This is classic LOL!
   
 20. Robweme

  Robweme Senior Member

  #20
  Jun 14, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani msihangaike, kwani siasa ni ze comedy.Hivi tangia tupate uhuru hadi leo,ni kuomba misaada hivi mpaka lini.
  Misaada inakuja watu wananunulia machangudoa magari mekundu na meusi ya kumwaga.
  Alafu wanacheza nichezo ya kuigiza kupelekana mahakamani, gerezani na kudhaminiana, na kuandika kwenye magazeti ili tusome kila siku na kusahau ku concentrate ktk kutafuta liziki.
  Wanaosoma mageziti mnapoteza mda wenu.Mara RA katukana na M,tunasoma kila siku hakuna mabadiliko, mimi aende nje asiende yote shwari hakunisaidii.
   
Loading...