Full 8
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 313
- 271
Habari zenu wakuu.
Kama kichwa kinavyosema, nimekuwa nikisikia viongozi mbalimbali wa kigeni/was ndani wanapokutana na rais/waziri huwa wanafanya mazungumzo ya faragha. Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu haya mazungumzo ya faragha.
1. Haya mazungumzo yanalengo gani?
2. Kama ni masuala ya kitaifa ni kwanini yawe faragha? Hasa kama hakuna nia ovu?
3. Na endapo mhusika atafariki/akastaafu kabla hajayatimiza ni nini hatima ya jambo/mambo hayo?
4. Katika mazungumzo hayo ya faragha huwa kuna watu wawili tu au kuna wengine ambao wanahusishwa ?
Ni hayo tu.