democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
ccm.longolongo.com
ccm.longolongo.com
mkuu,huu usanii wa maneno umeutoa wapi?Nilivyosikia ni kuwa serikali imekubali nyongeza ya mishahara kwa madaktari na daktari anayeanza atalipwa mil 1.9 take home, ila haiwezi kulipa kwa sasa mpaka budget ijayo, yaani july 2012. Kama ni kweli, nadhani ni suala la kuvumilia hiyo july maana kama mtoto wa mkulima alivyosema mwenyewe, hawawezi kuongeza kwa sasa maana ni katikati ya budget. Labda wanohusika na budget watudokeze hasa watu wa hazina kama hii ni kweli au bla bla,