Mazungumzo kati ya Serikali na Madaktari yakwama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazungumzo kati ya Serikali na Madaktari yakwama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, May 20, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuna dalili zinaonyesha kuwa mazungumzo kati ya serikali na wawakilishi wa madaktari yamekwama na hivyo kuna uwezekano wa mgogoro huu ulioanza mwezi disemba mwaka jana kuendelea.

  Taarifa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa MAT zinaashiria kuwa serikali inatumia siasa za kupoteza muda badala ya kushughulikia madai muhimu ya madaktari.kuna baadhi ya mambo yaliyosemwa na Pinda hayajaanza kutekelezwa au kutekelezwa katika maeneo machache mfano ni posho ya kuitwa kazini(call allowance),usafiri n.k

  kulingana na takwimu zilizokusanywa na MAT idadi ya madaktari inafikia 1700 ingawa serikali imeleta idadi potofu ya madaktari ili kujitetea kuwa gharama ya mahitaji ni kubwa.

  Nawasilisha...
   
 2. K

  Kanundu JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 891
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Madaktari tuliwaambia mapema sana kwamba, kwa serikali hii msitarajie lolote la maana. Sasa mnaona inakula kwenu?

  Kama mnaona mambo hayaendi LIANZISHENI TENA.
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ni vyema kwa pande zote kutumia busara ili tusirudi kwenye mgogoro huu!
  Obvious serikali lazima ilete siasa lakini kwenye suala nyeti la afya ni lazima iongozwe na facts na sio blah blah.
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Nchi hii imejaa mazungumzo bila utendaji kila sehemu.
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Binafsi nadhani madaktari kwa sehemu yao wameonesha busara ya hali ya juu sana lakini kwa upande wa serikali wao ndo wamekuwa watu wa porojo tu,mwisho watakimbilia kwa wazee wa dar es salaam,wako busy kupeana post mara mkuu wa wilaya mara barozi nk matatizo ya madaktari wanasuasua,safari hii na sie wagonjwa tutagoma mpaka madr wasikilizwe kwanza
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  This is simply beyond satire from our government!
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwa mbaali naona mgomo mwingine wa madaktari unanukia,busara za kumuheshimu rais zitatoweka.
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  This time nafikiri wasitake Dr Mwinyi ajiuzulu bali Pinda na kama mgogoro utaendelea basi kiranja mkuu.
   
 9. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  nadhani sasa wananchi watatambua kuwa mleta tatizo ni serikali na sio madaktari.kizazi hiki kinahitaji ukweli na si vinginevyo!
   
 10. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  inaelekea tatizo liko juu zaidi!hapa sidhani kama tutaambiwa kuna shinikizo!
   
 11. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkoa Manyara (Hospitali Mpya ya Mkoa kuna Madaktari wapya Degree Holders 7) , madaktari wanazungushwa suala la House allowance, akidaiwa na watendaji wadogo wa Katibu tawala Mkoa kuwa kumpa nyumba daktari ni fever ya mwajiri yaani (RAS) na mwajili anaamua akuchangie kiasi gani for House allowance hakuna muongozo wa nyumba za madaktari. Wameshamuona Mkuu wa Mkoa katoa agizo walipiwe nyumba haraka.....! Sasa wanasubiri utekelezaji. MAT ongezeni nguvu Mikoani, ili msimamo wenu uwe na nguvu. SOURCE. Rafiki yangu toka Manyara.
   
 12. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni ukweli usio na shaka kuwa serikali ya JK imeshindwa kutatua ili swala. Kwa upanda wa ma-Dr, mpaka sasa wameonyesha uzalendo kwa kuvumilia. Kwa kweli huyu mwanaharamu anatupeleka siko...
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Unajua kama hazina imekauka basi tena kama ni mwanaume siyo rizki tena!!!! Kwa mantiki hiyo kila kitakachosemwa hakitatekelezwa kwa wakati kwa sababu yote yanadai pesa ambayo kwa kiasi kikibwa haipo hapo sasa!!!!
  Kile kipindi cha kuahidi kama kichaa kimekwisha.
   
 14. m

  msafi Senior Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nilivyosikia ni kuwa serikali imekubali nyongeza ya mishahara kwa madaktari na daktari anayeanza atalipwa mil 1.9 take home, ila haiwezi kulipa kwa sasa mpaka budget ijayo, yaani july 2012. Kama ni kweli, nadhani ni suala la kuvumilia hiyo july maana kama mtoto wa mkulima alivyosema mwenyewe, hawawezi kuongeza kwa sasa maana ni katikati ya budget. Labda wanohusika na budget watudokeze hasa watu wa hazina kama hii ni kweli au bla bla,
   
 15. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi siyo daktari lakini kutokana na usanii wa viongozi wa serikali yetu natangaza kuwaunga mkono madaktari. Nadhani pinda hana tatizo mi naona madaktari walie na kichwa cha jk
   
 16. bona

  bona JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nadhan serikali inashindwa kuweka hadharani situation yake kua haina pesa kabisa ktk hazina so hakuna kipya kitachoweza lipwa zaidi ya technic za kuvuta mda mpaka pesa zitapopatikana, kwa upande mwingine rais atakua amejizalilisha kwani aliheshimiwa kama mkuu wa nchi lakini anpoonyesha usanii wa wazi kiasi hiki madaqktari wakigoma tena hawatalaumiwa kwani wamejitaidi kuonyesha uvumilivu na busara ya hali ya juu mpaka sasa!
   
 17. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakubaliana na wewe kuwa budget ijayo ila je unaweza kuniambia hili kundi la wanaosimamia Maoni ya KATIBA mya budget yao ilipitishwa lini? Huu ni usanii ila ni mbaya sana kwa Taifa letu hili changa ni bora serikali kusema ukweli kwa wananchi wake kuwa sasa hatuna fedha. Nadhani hata mimi nitakuwa miongoni mwa watanzania nitakao wasapoti kwa hilo ila sio kuleta bla bla.
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kama ukiweza kidhibiti matumizi mabaya na uizi, mambo mengi yatasuluhishwa. Tatizo ni mfumo. na issue sio madaktari tu.
   
 19. m

  mangifera Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We uliyesema milioni 1.9 umepata wapi hiyo kitu! Kutoka kwa madaktari wenyewe wanasema hakuna kitu kama hicho, na wala hawajawahi kukisikia kwenye taarifa zozote. Wanasema walikwama walipoanza kuzungumzia maslahi!!
  Chonde chonde wenye uwezo ingilieni hili yasije tokea mabaya tukaanza kuwalaumu madaktari kuwa wamekurupuka!!
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Moja ya mambo yaliyokubaliwa na NEC week iliyopita ni kwamba serikali inatakiwa iwahimize waajiri kwenye sekta binafsi waongeze mishahara ya wafanyakazi wao!
   
Loading...