The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Wakati wa mwendazake, hawa watu (wakuu Wa taasisi na idara za umma kama huyu Mutungi na wengine) walikuwa wanalazimishwa kuvunja sheria kwa matakwa na maslahi ya dikteta Uchwara...Binafsi Mutungi simwamini kabsaaa!
Hawakuwa na jinsi so long as wanalinda vibarua vyao...
Let's hope that, sasa wamefunguliwa toka ktk kifungo hicho. Tunaweza kuwapa "benefit of doubt" kwa kuanza kuwaamini tena though kuna wengine walishaathiriwa na utamaduni mbaya wa mwendazake na inaweza kuwa kazi kweli kubadilika...