Mazungumzo: Jinsi dijitali inavyoweza kukuza Demokrasia Tanzania

Digitali Haijakuza Demokrasia Russia na China
Digitali ni kiungo muhimu katika kukuza Demokrasia wakati huu ambapo ukuaji wa sayansi na teknolojia unashika kasi hapa nyumbani na duniani kote

Mjadala huu wa 'Demokrasia Kidigitali' na mingine ya aina hii ni itatoa fursa ya kujifunza, kuelewa, kushiriki na kuwa sehemu ya mabadiliko
 
Dijitali haiwezi kukuza demokrasia, haijakuza Demokrasia Urusi, China, Uarabuni, Venezuela n.k.

Demokrasia inakuzwa kwa utamaduni, raia wengi kuipenda na kuwa majasiri kuitafuta na kulinda.
Tanzania ni moja ya soko linalokuwa zaidi barani Afrika kwenye nyanja ya dijitali, takwimu ya mwaka 2020 ikionyesha watumiaji wa internet wamefika milioni 28.5 kutoka milioni 25.8 mwaka 2019 huku idadi hiyo ikiwa sawa na asilimia 49 ya watu wake. Teknolojia iliyokuja inaruhusu wananchi kuweza kuwafikia viongozi wao moja kwa moja, kupanga na kufanya mijadala ya umma.
 
Sio kweli, China ni mojawapo ya nchi zilizo juu sana kidijitali ila bado ni nchi isiyo na demokrasia.
Ongezeko la watumiaji linamaanisha ndipo dunia inapokwenda, kama ongezeko ni kubwa viongozi na mamlaka watambue kuwa uwanja wa demokrasia nao unatakiwa kukua, haiwezi kubaki vilevile wakati watumiaji wanaongezeka.

Wasipokubali kwenda na mabadiliko ndipo hapo inakuwa ngumu kuwa na maelewano baina ya pande mbili.
 
Kwa sababu mataifa siku zote yanaangalia maslahi yao kwanza ndipo mambo mengine yanafuata.

Ndio maana unaona US wameenda kufanya mazungumzo na Maduro wa Venezuela vita ya Urusi na Ukraine ilipoanza.
Naomba umuulize balozi kwanini wanasupport nchi ambazo hazina demokrasia kama Tanzania?
 
Going Digital is the way to Go and the only way which might guarantee the People have Real Power, I might call it Power at your Fingertips....

 
Sidhani kama demokrasia imepewa kipaumbele hapa nchini kwetu zaidi ya ukandamizaji tu sijui tunakwenda wapi
Shemu, Mitandao ya kijamii imesaidia kukuza Demokrasia.

Sasa hivi watu wanafuatilia matukio mbalimbali live kwa kutumia simu tu

Wanashiriki midahalo na mada mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii.

Tungekuwa wapi isingekuwepo?
 
Ingekuwa hivyo China na Russia
Going Digital is the way to Go and the only way which might guarantee the People have Real Power, I might call it Power at your Fingertips....

 
Platforms kama hizi ndiyo zinatufundisha umuhimu wa utawala wa ki demokrasia.

Tunawashukuru washiriki wote.
 
Shemu, Mitandao ya kijamii imesaidia kukuza Demokrasia. Sasa hivi watu wanafuatilia matukio mbalimbali live kwa kutumia simu tu. Wanashiriki midahalo na mada mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii. Tungekuwa wapi isingekuwepo?
Ni kweli demokrasia inakua lakini tatizo ni perception ya viongozi wa kisiasa, wengi wao huwa wanaangalia maslahi binafsi kabla ya kuanza kuruhusu haki ya kutumia mitandao kujieleza.
 
Shemu, Mitandao ya kijamii imesaidia kukuza Demokrasia. Sasa hivi watu wanafuatilia matukio mbalimbali live kwa kutumia simu tu. Wanashiriki midahalo na mada mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii. Tungekuwa wapi isingekuwepo?
Sikatai, najua kwa sehemu fulani imesaidia ila bado demokrasia inaendeelea kukandamizwa ingawaje mitandao imeweka peupe na bayana.
 
Ingekuwa hivyo China na Russia
Kwamba China wamekwenda Digital katika Demokrasia ?

Demokrasia ina matatizo yake mengi na pia ina faida kubwa sana..., Demokrasia ya kweli sehemu nyingi imekuwa nadharia ile total inclusion haipo,

The Real people hawana Power sababu its unpractical kuwa hivyo

Na hapo ndio teknolojia inaweza kusaidia kufanya ile reach ya maamuzi kuwafikia watu na sio wachache kufanya dictatorship yao kwa mwanvuli wa demokrasia.

Hata Uchaguzi tu ni mojawapo ya huu Uongo Duniani Kote...,

Sio kweli kwamba wananchi ndio wanamchagua Rais..., ukweli ni kwamba Nominators wanaochagua Nominees katika vyama ndio wanachagua Rais huku wananchi wanapewa options tu between ya kile wachache walichokichagua....

Technology has a chance to rectify all that... In short technology can assist the betterment of all works of life
 
Hivi ni vikao kama vikao vingine tu
Mitandao sijui digitali inakuza demokrasia ni % ndogo sana
Comments za kujenga kukosoa aina fulani fulani mods mnazibana sana humu
* mpunguze kuchokonoachokonoa kwenye niniliii za watu hapo ndipo tutaanza kuimba mapambio so far badoooo sana..
 
Hivi ni vikao kama vikao vingine tu
Mitandao sijui digitali inakuza demokrasia ni % ndogo sana
Comments za kujenga kukosoa aina fulani fulani mods mnazibana sana humu
* mpunguze kuchokonoachokonoa kwenye niniliii za watu hapo ndipo tutaanza kuimba mapambio so far badoooo sana..
NI shida sn
 
Back
Top Bottom