Mazoezi ya mwili hasa sisi tupendao gym. Hasa tuliopo Mafinga

Dogo GSM

Member
Jul 31, 2021
65
91
Nadhani mko salama.

Wakuu mimi ni kijana niishie Mafinga ndiko nimeajiriwa huku kitambo kidogo..Ni almost miaka yote mitatu nimekuwa nashindwa kufanya kitu hiki nachokipenda siku zote kiasi kwamba roho huwa inaniuma sana.

Mwenzenu napenda sana mazoezi hasa ya gym..lengo langu nishape kidogo baadhi ya sehemu za mwili wangu sababu sipendi kwa hivi nilivyo.Sikatai..mimi nna muonekano wa kawaida tuu ambao kwa haraka haraka yeyote atapendezwa nao,mrefu..then mwembamba but kitambo nataka kumaintain zaidi japo nlikuwa nafeli muda wa kupractice kutokana na ubize wa shughuli yangu.

Najua wengine wanadai gym mbaya inaharibu but mimi ntatumia level ya uzito wangu tuu compared to meal taken in.

Sasa wale tuliopo Mafinga tuwasiliane hapa ili TUJUZANE machimbo/kijiwe au eneo la mazoezi ya gym.NAPENDA SANA G YM TANGU SIJABALEHE KIASI KWAMBA HUWA NAOTA HADI NDOTONI NABEBA CHUMA
FB_IMG_16322296548639639.jpg
FB_IMG_16322296311236874.jpg
 
Wenzako ndotoni wanaota wako pisi kali wewe unaota umebeba machuma.. kijana uko kwenye raiti tiraki... tembea kifua mbere!
 
Mbona rahisi tu kijana, nunua sementi tengeneza gym yako, au anza kutafuta gereji za magari, ukanunue vyuma vipo kibao tu, acha kukwama,

Unapenda gym kama mimi, nakuambia nimevimba hatari
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom