Mazoezi haya ya china ni kitisho kwa usa au ni tambo tu

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
307
Points
500

2019

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2018
307 500
Nimekua nikifuatilia sana siasa za kimataifa kwa muda mrefu,mikwara, vitisho na tambo zinafurahisha sana hasa kwa wababe wa dunia kijeshi.
China, Korea Kaz na Urusi wanafanya mazoezi kila mwaka na kuonyesha silaha zao mpya za kijeshi. Hii ina maana gani? Mbona Marekani haionyeshi za kwake? Sioni washirika wote wa nchi za magharibi zikiwa na tamaduni hiyo...
Haya ni maonyesho yaliyofanyika hivi karibuni
 

Forum statistics

Threads 1,356,365
Members 518,895
Posts 33,131,174
Top