Mazoea mabaya yanayoweza kutugharimu wakazi wa Dar

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
322
184
Watanzania tuache kuishi kwa mazoea . kuna mambo ambayo yanaepukika lakini mazoeaI yetu yanatusabishia madhara makubwa katika maisha yetu. Na wakati mwingine kuchukua maisha yetuNina mifano michache kwa hayo ninayo yasema mfano​
  • Ajali tunafundishwa kuchukua tahadhari kuzuia au kujizuia na ajali lakini wengi no mashuhudu vijana wetu wanavyo chezea bodaboda wakiwa hawana kings za ajali mfano wake ni maeneo ya msasani mwisho na maeneo ya mikadi kigamboni wanapofanya mbwembwe zao na hizo bodaboda zao
  • Mafuriko tuchukue tahadhari na mafuriko hiki in kilio cha kila siku toka viongozi wetu kwa wananchi lakini matokeo no Yale Yale kila msimu
  • Nk
Sasa kuepuka haya tuache kuishi kwa mazoea kwani kuna mifano mingi tu inagharimu maisha yetu
 
Ushauri mzuri Uncle.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom