Mazoea hujenga tabia

Mr.Professional

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,582
258
Bongo yetu mtu anaanza kutumia computer akiwa anazaidi ya miaka 18 wkt kwa wenzetu india tu nch maskini mtoto akizaliwa anapewa aanze kuchapa code( kuwa programmer) hapa dogo anajifunza kutengeneza computer game.
 

Attachments

  • dogo wa ukweli.jpg
    dogo wa ukweli.jpg
    11.6 KB · Views: 263
Kazi kweli kweli hapo
Huku mpaka mtoto aje aone computer ni akiwa secondary
 
kweli dogo anaonekana yupo bize sana! dah nimeipenda sana hiyo.
 
Back
Top Bottom