Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,550
- 1,422
Amani iwe nanyi wakuuu.
Mimi napenda kujifunza vitu vipya kupitia kwenu wadau.Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu hili ila sijawahi kuuliza.
Pindi mtu umezapa dawa ya aina yoyote ile haushauriwi kunywa maziwa kwa muda huo huo. Swali ni je vipi kuhusu mama anaenyonyesha,maziwa yake hayawezi kuharibu dawa wakati wa kumnyonyesha mtoto katika kipindi anachokuwa amepewa dawa?
Asanteni sana wakuu naomba kuwasilisha.