Maziwa ya Mama yanaweza kuharibu ufanisi wa dawa?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
766
500
Amani iwe nanyi wakuuu.

Mimi napenda kujifunza vitu vipya kupitia kwenu wadau.Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu hili ila sijawahi kuuliza.

Pindi mtu umezapa dawa ya aina yoyote ile haushauriwi kunywa maziwa kwa muda huo huo. Swali ni je vipi kuhusu mama anaenyonyesha,maziwa yake hayawezi kuharibu dawa wakati wa kumnyonyesha mtoto katika kipindi anachokuwa amepewa dawa?

Asanteni sana wakuu naomba kuwasilisha.
 
Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
766
500
Habari za asubuhi wakuu.

Unaambiwa ukinywa dawa hutakiwi kunywa maziwa,vipi kwa watoto wanaonyonya hili likoje?

Utakuta mama kampa dawa mwanae wakati huo hou anampatia ziwa au maziwa ya mama hayana vuwatilifu vinavyoweza kuharibu dawa au dawa za watoto zimewekewa kinga dhidi ya viwatilifu hivyo?
 
chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
730
1,000
Amani iwe nanyi wakuuu.

Mimi napenda kujifunza vitu vipya kupitia kwenu wadau.Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu hili ila sijawahi kuuliza.

Pindi mtu umezapa dawa ya aina yoyote ile haushauriwi kunywa maziwa kwa muda huo huo. Swali ni je vipi kuhusu mama anaenyonyesha,maziwa yake hayawezi kuharibu dawa wakati wa kumnyonyesha mtoto katika kipindi anachokuwa amepewa dawa?

Asanteni sana wakuu naomba kuwasilisha.
Maziwa yanaharibu sumu sio yanaharibu dawa, ila ukizidisha kiwango cha dawa hugeuka sumu na ukinywa maziwa hiyo sumu ilosababishwa na kiwango kikubwa cha dawa inaharibika
 
missyrose

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
2,439
2,000
Sijui mengine najua tu maziwa ya mama na maziwa ya ng'ombe yana tofauti kubwa sana ndio maana mtoto chini ya mwaka mmoja haishauriwi kumpa maziwa ya ng'ombe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom