Mazito yafichuka Mkuu wa shule Lyamungo aliyezuiwa kuhama na DC Sabaya

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Siku chache Mara baada ya serikali wilayani Hai kusitisha uhamisho wenye utata wa Mkuu wa shule ya sekondari Lyamungo, Adriano Mushi Mazito yameibuka huku chanzo kikielezwa ni fedha zilizotolewa na Rais Magufuli Tshs milioni 800 kwa ajili ukarabati wa shule hiyo.

Sakata la kuhamishwa ghafla kwa Mkuu huyo wa shule iliamuliwa na katibu tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro (RAS), kwa madai kwamba hana mahusiano mazuri na walimu wenzake na kutakiwa kuhamia Shule ya Sekondari Lemira iliyopo wilayani humo.

Kwa mujibu wa barua ya Tar 23 mach, 2020 iliyoandikwa na Shukuru Maleo ambaye ni fundi ujenzi kwenda kwa Mkuu wa shule ya sekondari Lyamongo akiomba kibarua cha ujenzi katika shule hiyo, inaonyesha kwamba Flugence Mponji ambaye ni msimamizi wa miradi ya elimu mkoani humo ndiye aliyemdhamini fundi huyo aweze kupata kibarua.

Baada ya fundi huyo kuwasilisha barua yake ya maombi ya ujenzi April mosi mwaka huu, bodi ya shule hiyo iliketi na kufanya maamuzi ya kupitia maombi ya kazi ambapo kati ya majina yaliyopitishwa jina la Shukuru Maleo aliyetambulishwa na Mponji kwa mkuu wa shule halikuwepo hapo ndipo kimbembe kilipoanzia.

Hatua hiyo iliibua mtafaruku na chuki baina ya Mkuu wa shule hiyo na baadhi ya wajumbe wa sekretarieti ya mkoa na kwamba mnamo tar 9, April mwaka huu Mkuu huyo wa shule alipokea barua ya uhamisho.

Kutokana na uhamisho huo wa ghafla wa Mkuu huyo wa shule baadhi ya walimu,wazazi na wananchi mbalimbali walihoji sababu ya uhamisho huo hasa Katika kipindi ambacho shule ilipokea sh, milioni 800 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya ukarabati wa shule hiyo Kongwe wilayani humo.

Hata hivyo wakati sekeseke hilo likiendelea kuliibuka tetesi kwamba kuna kamati iliundwa kwa ajili ya kufuatilia mahusiano ya Mkuu huyo na walimu wenzake na kwamba taarifa ya kamati hiyo ilidai kwamba mwalimu huyo hakuwa na mahusiano na walimu wenzake.

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo ambaye kwa mujibu wa taratibu ndiye mwajiri wa Mkuu huyo wa shule hakushirikishwa suala hilo na kwamba hata Mkuu huyo pia hakuhojiwa na kamati hiyo.

Jambo hilo limeonyesha wazi kwamba kunampango wa maksudi ili kumwondoa Mkuu huyo wa shule kwa lengo la upigaji wa fedha hizo kutokana na kwamba Mkuu huyo alikuwa akisimamia utaratibu wa matumizi sahihi ya fedha za umma suala ambalo liliwachukiza baadhi ya wakuu wake wa kazi na kuamua kumhamisha ili kupata mianya ya kuchomeka watu wao katika mradi huo ili kujipatia maslahi binafsi.

Suala hilo linaibua dhana mbaya ya matumizi mabaya ya madaraka na uonevu iliyofanywa na ofisi ya katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro na ni mwendelezo wa ukandamizaji wa watumishi wa kada za chini na kati hali ambayo imekuwa ikikemewa na rais John Pombe Magufuli.

Bila shaka vyombo vya dola ikiwemo Takukuru vitafuatilia kwa undani suala hili na kuibua yanayofanywa katika ofisi ya RAS na itakuwa mwanzo mzuri wa kulindwa kwa haki za wanyonge wanaonyanyasika mahala pa kazi.

IMG-20200417-WA0013.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hii habari mnaikuza sana....
Lyamungo walimu wakuu wanakuja na kupita. .. kawaida sana hii ..
Hata Bureta alijua angekaa miaka kumi na zaid kwa msaada wa kaka yake.... kilichomkuta 2004 hawezi sahau maisha ni mwake ...

Tena ningemshauri Mushi awe makini sana na wapambe, Bureta alikuwa na Shoo na Mgogo. . Wote wakamuingiza poring pamoja na kuwa na connection anzia wilaya ni hadi taifa kwa bro. .

Mambo kawaida sana ... sijui mna agenda gani zaid ya hizo ngonjera za 800M like zinaweza badili hata muonekano wa Aggrey, Lumumba na Shaban Robert au zaid sana na Dinning hall..... .
 
Siku chache Mara baada ya serikali wilayani Hai kusitisha uhamisho wenye utata wa Mkuu wa shule ya sekondari Lyamungo ,Adriano Mushi Mazito yameibuka huku chanzo kikielezwa ni fedha zilizotolewa na rais Magufuli sh,milioni 800 kwa ajili ukarabati wa shule hiyo.

Sakata la kuhamishwa ghafla kwa Mkuu huyo wa shule iliamuliwa na katibu tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro (RAS),kwa madai kwamba hana mahusiano mazuri na walimu wenzake na kutakiwa kuhamia shule ya sekondari Lemira iliyopo wilayani humo.

Kwa mujibu wa barua ya Tar 23 mach,2020 iliyoandikwa na Shukuru Maleo ambaye ni fundi ujenzi kwenda kwa Mkuu wa shule ya sekondari Lyamongo akiomba kibarua cha ujenzi katika shule hiyo ,inaonyesha kwamba Flugence Mponji ambaye ni msimamizi wa miradi ya elimu mkoani humo ndiye aliyemdhamini fundi huyo aweze kupata kibarua .

Baada ya fundi huyo kuwasilisha barua yake ya maombi ya ujenzi April mosi mwaka huu,bodi ya shule hiyo iliketi na kufanya maamuzi ya kupitia maombi ya kazi ,ambapo kati ya majina yaliyopitishwa jina la Shukuru Maleo aliyetambulishwa na Mponji kwa mkuu wa shule halikuwepo hapo ndipo kimbembe kilipoanzia.

Hatua hiyo iliibua mtafaruku na chuki baina ya Mkuu wa shule hiyo na baadhi ya wajumbe wa sekretarieti ya mkoa na kwamba mnamo tar 9,April mwaka huu Mkuu huyo wa shule alipokea barua ya uhamisho .

Kutokana na uhamisho huo wa ghafla wa Mkuu huyo wa shule baadhi ya walimu,wazazi na wananchi mbalimbali walihoji sababu ya uhamisho huo hasa Katika kipindi ambacho shule ilipokea sh, milioni 800 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya ukarabati wa shule hiyo Kongwe wilayani humo.

Hata hivyo wakati sekeseke hilo likiendelea kuliibuka tetesi kwamba kuna kamati iliundwa kwa ajili ya kufuatilia mahusiano ya Mkuu huyo na walimu wenzake na kwamba taarifa ya kamati hiyo ilidai kwamba mwalimu huyo hakuwa na mahusiano na walimu wenzake .

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo ambaye kwa mujibu wa taratibu ndiye mwajiri wa Mkuu huyo wa shule hakushirikishwa suala hilo na kwamba hata Mkuu huyo pia hakuhojiwa na kamati hiyo.

Jambo hilo limeonyesha wazi kwamba kunampango wa maksudi ili kumwondoa Mkuu huyo wa shule kwa lengo la upigaji wa fedha hizo kutokana na kwamba Mkuu huyo alikuwa akisimamia utaratibu wa matumizi sahihi ya fedha za umma suala ambalo liliwachukiza baadhi ya wakuu wake wa kazi na kuamua kumhamisha ili kupata mianya ya kuchomeka watu wao katika mradi huo ili kujipatia maslahi binafsi.

Suala hilo linaibua dhana mbaya ya matumizi mabaya ya madaraka na uonevu iliyofanywa na ofisi ya katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro na ni mwendelezo wa ukandamizaji wa watumishi wa kada za chini na kati hali ambayo imekuwa ikikemewa na rais John Pombe Magufuli.

Bila shaka vyombo vya dola ikiwemo Takukuru vitafuatilia kwa undani suala hili na kuibua yanayofanywa katika ofisi ya RAS na itakuwa mwanzo mzuri wa kulindwa kwa haki za wanyonge wanaonyanyasika mahala pa kazi.View attachment 1422426

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kumpa kiki uyo mkuu wa shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari nimeiona ona Mara kadhaa sikutaka kuiongelea ila naomba niulize viswali kadhaa

1/Ni jukumu la RAS kumuhamisha mfanyakazi aliyechini ya halimashauri?
2/Ni halali mkuu wa wilaya kuingilia uhamisho wowote wa mfanyakazi?
Ikiwa ni kuzuia au kushawishi uhamisho?
3/Protocol inasemaje juu ya DC na RAS
Je ni sahihi DC kupinga maamuzi ya RAS?

Mytake
Huu mgogoro kuna kitu kinafichwa haiwezekani afisa elimu na DED wapo kimya hawajapinga wala kukubaliana na uhamisho ili hali ni jukumu lao?

Believe me kuwa 800M hawezi kula headmaster peke ake
Jua kuna mtu mkubwa anahusika
 
Siku chache Mara baada ya serikali wilayani Hai kusitisha uhamisho wenye utata wa Mkuu wa shule ya sekondari Lyamungo ,Adriano Mushi Mazito yameibuka huku chanzo kikielezwa ni fedha zilizotolewa na rais Magufuli sh,milioni 800 kwa ajili ukarabati wa shule hiyo.

Sakata la kuhamishwa ghafla kwa Mkuu huyo wa shule iliamuliwa na katibu tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro (RAS),kwa madai kwamba hana mahusiano mazuri na walimu wenzake na kutakiwa kuhamia shule ya sekondari Lemira iliyopo wilayani humo.

Kwa mujibu wa barua ya Tar 23 mach,2020 iliyoandikwa na Shukuru Maleo ambaye ni fundi ujenzi kwenda kwa Mkuu wa shule ya sekondari Lyamongo akiomba kibarua cha ujenzi katika shule hiyo ,inaonyesha kwamba Flugence Mponji ambaye ni msimamizi wa miradi ya elimu mkoani humo ndiye aliyemdhamini fundi huyo aweze kupata kibarua .

Baada ya fundi huyo kuwasilisha barua yake ya maombi ya ujenzi April mosi mwaka huu,bodi ya shule hiyo iliketi na kufanya maamuzi ya kupitia maombi ya kazi ,ambapo kati ya majina yaliyopitishwa jina la Shukuru Maleo aliyetambulishwa na Mponji kwa mkuu wa shule halikuwepo hapo ndipo kimbembe kilipoanzia.

Hatua hiyo iliibua mtafaruku na chuki baina ya Mkuu wa shule hiyo na baadhi ya wajumbe wa sekretarieti ya mkoa na kwamba mnamo tar 9,April mwaka huu Mkuu huyo wa shule alipokea barua ya uhamisho .

Kutokana na uhamisho huo wa ghafla wa Mkuu huyo wa shule baadhi ya walimu,wazazi na wananchi mbalimbali walihoji sababu ya uhamisho huo hasa Katika kipindi ambacho shule ilipokea sh, milioni 800 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya ukarabati wa shule hiyo Kongwe wilayani humo.

Hata hivyo wakati sekeseke hilo likiendelea kuliibuka tetesi kwamba kuna kamati iliundwa kwa ajili ya kufuatilia mahusiano ya Mkuu huyo na walimu wenzake na kwamba taarifa ya kamati hiyo ilidai kwamba mwalimu huyo hakuwa na mahusiano na walimu wenzake .

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo ambaye kwa mujibu wa taratibu ndiye mwajiri wa Mkuu huyo wa shule hakushirikishwa suala hilo na kwamba hata Mkuu huyo pia hakuhojiwa na kamati hiyo.

Jambo hilo limeonyesha wazi kwamba kunampango wa maksudi ili kumwondoa Mkuu huyo wa shule kwa lengo la upigaji wa fedha hizo kutokana na kwamba Mkuu huyo alikuwa akisimamia utaratibu wa matumizi sahihi ya fedha za umma suala ambalo liliwachukiza baadhi ya wakuu wake wa kazi na kuamua kumhamisha ili kupata mianya ya kuchomeka watu wao katika mradi huo ili kujipatia maslahi binafsi.

Suala hilo linaibua dhana mbaya ya matumizi mabaya ya madaraka na uonevu iliyofanywa na ofisi ya katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro na ni mwendelezo wa ukandamizaji wa watumishi wa kada za chini na kati hali ambayo imekuwa ikikemewa na rais John Pombe Magufuli.

Bila shaka vyombo vya dola ikiwemo Takukuru vitafuatilia kwa undani suala hili na kuibua yanayofanywa katika ofisi ya RAS na itakuwa mwanzo mzuri wa kulindwa kwa haki za wanyonge wanaonyanyasika mahala pa kazi.View attachment 1422426

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Kilimanjaro Kuna shida,na shida unakuja kwa namna hii,kwa tanzania mkoa wa Kilimanjaro ndio unaoingiza kwa kuwa na shule nyingi kongwe nchini, mfano ,umbwe,ashira,weruweru,old Moshi,Moshi technical,Lyamungo,same,machame girl's, na kadhalika,hivyo shule hizi zote zimetengewa mamilioni ya fedha za ukarabati.

Sasa Basi,ofisi ya RAS na REO Kilimanjaro wanadokolea shule hizo zote macho ili kupata namna ya kulamba hayo mamilioni ya fedha za ukarabati.njia pekee REO na RAS lazima wapangue na kuweka safu ya viongozi wanaowataka na ndicho kilichotokea Lyamungo sekondari. Hata umbwe sekondari sakata Hilo Hilo lilitokea akalizima Mh.Jafo na mkuu wa shule akihamishwa .

Takukuru ninawashauri mdihangaike kutafuta mchawi mbali ,mchawi ni Mwl imu Paulina ambaye ni REO Kilimanjaro, akishirikiana na RAS Kilimanjaro na watu wa Tamisemi fedha zinakotoka.

REO Kilimanjaro asimamishwe kazi kupisha uchunguzi, na uchunguzi huu pia ufanyika shule zote kongwe za mkoa wa Kilimanjaro ambazo zimefanyiwa ukarabati mtakuta madudu makubwa mno hamtaamini ni watumishi wa serikali ya awamu ya tano.
 
Mbona hii habari mnaikuza sana....
Lyamungo walimu wakuu wanakuja na kupita. .. kawaida sana huyo. ..
Hata Bureta alijua angekaa miaka kumi na zaid kwa msaada wa kaka yake....
Mambo kawaida sana ... sijui mna agenda gani zaid ya hizo ngonjera za 800M like zinaweza badili hata muonekano wa Aggrey na Shaban Robert au zaid sana na Dinning hall....

Kwani hujui wachaga... Vitu vidogo wanataka taifa zima lijadili..

Pesa tu.
 
Huko Kilimanjaro Kuna shida,na shida unakuja kwa namna hii,kwa tanzania mkoa wa Kilimanjaro ndio unaoingiza kwa kuwa na shule nyingi kongwe nchini, mfano ,umbwe,ashira,weruweru,old Moshi,Moshi technical,Lyamungo,same,machame girl's, na kadhalika,hivyo shule hizi zote zimetengewa mamilioni ya fedha za ukarabati.
Sasa Basi,ofisi ya RAS na REO Kilimanjaro wanadokolea shule hizo zote macho ili kupata namna ya kulamba hayo mamilioni ya fedha za ukarabati.njia pekee REO na RAS lazima wapangue na kuweka safu ya viongozi wanaowataka na ndicho kilichotokea Lyamungo sekondari. Hata umbwe sekondari sakata Hilo Hilo lilitokea akalizima Mh.Jafo na mkuu wa shule akihamishwa .
Takukuru ninawashauri mdihangaike kutafuta mchawi mbali ,mchawi ni Mwl imu Paulina ambaye ni REO Kilimanjaro, akishirikiana na RAS Kilimanjaro na watu wa Tamisemi fedha zinakotoka.REO Kilimanjaro asimamishwe kazi kupisha uchunguzi, na uchunguzi huu pia ufanyika shule zote kongwe za mkoa wa Kilimanjaro ambazo zimefanyiwa ukarabati mtakuta madudu makubwa mno hamtaamini ni watumishi wa serikali ya awamu ya tano.
Tunaomba Jambo hili alione MKUU wa nchi na ajionee jinsi watu wanavyopiga pesa awamu ya TANO pamoja na kuwepo mahakama ya MAFISADI Ila watu hawajari na wala huwaambi kitu
 
Siku chache Mara baada ya serikali wilayani Hai kusitisha uhamisho wenye utata wa Mkuu wa shule ya sekondari Lyamungo, Adriano Mushi Mazito yameibuka huku chanzo kikielezwa ni fedha zilizotolewa na Rais Magufuli Tshs milioni 800 kwa ajili ukarabati wa shule hiyo.

Sakata la kuhamishwa ghafla kwa Mkuu huyo wa shule iliamuliwa na katibu tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro (RAS), kwa madai kwamba hana mahusiano mazuri na walimu wenzake na kutakiwa kuhamia Shule ya Sekondari Lemira iliyopo wilayani humo.

Kwa mujibu wa barua ya Tar 23 mach, 2020 iliyoandikwa na Shukuru Maleo ambaye ni fundi ujenzi kwenda kwa Mkuu wa shule ya sekondari Lyamongo akiomba kibarua cha ujenzi katika shule hiyo, inaonyesha kwamba Flugence Mponji ambaye ni msimamizi wa miradi ya elimu mkoani humo ndiye aliyemdhamini fundi huyo aweze kupata kibarua.

Baada ya fundi huyo kuwasilisha barua yake ya maombi ya ujenzi April mosi mwaka huu, bodi ya shule hiyo iliketi na kufanya maamuzi ya kupitia maombi ya kazi ambapo kati ya majina yaliyopitishwa jina la Shukuru Maleo aliyetambulishwa na Mponji kwa mkuu wa shule halikuwepo hapo ndipo kimbembe kilipoanzia.

Hatua hiyo iliibua mtafaruku na chuki baina ya Mkuu wa shule hiyo na baadhi ya wajumbe wa sekretarieti ya mkoa na kwamba mnamo tar 9, April mwaka huu Mkuu huyo wa shule alipokea barua ya uhamisho.

Kutokana na uhamisho huo wa ghafla wa Mkuu huyo wa shule baadhi ya walimu,wazazi na wananchi mbalimbali walihoji sababu ya uhamisho huo hasa Katika kipindi ambacho shule ilipokea sh, milioni 800 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya ukarabati wa shule hiyo Kongwe wilayani humo.

Hata hivyo wakati sekeseke hilo likiendelea kuliibuka tetesi kwamba kuna kamati iliundwa kwa ajili ya kufuatilia mahusiano ya Mkuu huyo na walimu wenzake na kwamba taarifa ya kamati hiyo ilidai kwamba mwalimu huyo hakuwa na mahusiano na walimu wenzake.

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo ambaye kwa mujibu wa taratibu ndiye mwajiri wa Mkuu huyo wa shule hakushirikishwa suala hilo na kwamba hata Mkuu huyo pia hakuhojiwa na kamati hiyo.

Jambo hilo limeonyesha wazi kwamba kunampango wa maksudi ili kumwondoa Mkuu huyo wa shule kwa lengo la upigaji wa fedha hizo kutokana na kwamba Mkuu huyo alikuwa akisimamia utaratibu wa matumizi sahihi ya fedha za umma suala ambalo liliwachukiza baadhi ya wakuu wake wa kazi na kuamua kumhamisha ili kupata mianya ya kuchomeka watu wao katika mradi huo ili kujipatia maslahi binafsi.

Suala hilo linaibua dhana mbaya ya matumizi mabaya ya madaraka na uonevu iliyofanywa na ofisi ya katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro na ni mwendelezo wa ukandamizaji wa watumishi wa kada za chini na kati hali ambayo imekuwa ikikemewa na rais John Pombe Magufuli.

Bila shaka vyombo vya dola ikiwemo Takukuru vitafuatilia kwa undani suala hili na kuibua yanayofanywa katika ofisi ya RAS na itakuwa mwanzo mzuri wa kulindwa kwa haki za wanyonge wanaonyanyasika mahala pa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la RAS na REO kuwapamba wakuu wa shule za sekondari vituo na kuwahamisha vituo pamoja na waratibu elimu nchini nili harufu ya rushwa 100%.

Kwanini shule ziko ndani ya Halmashauri,ndani ya Halmashauri Kuna mkurugenzi wa Halmashauri ambaye ndiye mwajiri wa Mkuu wa shule na Kuna afisaelimu ndani ya hiyo Halmashauri, hawahusiki kupanga wakuu wa shule vituo,wanapangwa na REO na RAS hata shule hawaijui vizuri Wala iliko,Ila kazi yao ni kuwapanga na kuwahamisha .ninashauri Tamisemi ibadili mfumo huo haraka iwezekavyo.

Wakuu wa shule na waratibu elimu kata wapangwe vituo na waajiri wao ambao ni wakurugenzi wa halmashauri.hii itaepusha rushwa na kuimarisha elimu kuliko ilivyo kwa Sasa.
 
Kwa hili Sabaya yuko sahihi, kuna jambo.Hapo kuna wajanja walipenyeza watu wao wakalambe 10%.Takukuru wachunguze
 
Suala la RAS na REO kuwapamba wakuu wa shule za sekondari vituo na kuwahamisha vituo pamoja na waratibu elimu nchini nili harufu ya rushwa 100%.kwanini shule ziko ndani ya Halmashauri,ndani ya Halmashauri Kuna mkurugenzi wa Halmashauri ambaye ndiye mwajiri wa Mkuu wa shule na Kuna afisaelimu ndani ya hiyo Halmashauri, hawahusiki kupanga wakuu wa shule vituo,wanapangwa na REO na RAS hata shule hawaijui vizuri Wala iliko,Ila kazi yao ni kuwapanga na kuwahamisha .ninashauri Tamisemi ibadili mfumo huo haraka iwezekavyo.wakuu wa shule na waratibu elimu kata wapangwe vituo na waajiri wao ambao ni wakurugenzi wa halmashauri.hii itaepusha rushwa na kuimarisha elimu kuliko ilivyo kwa Sasa.
Rushwa haitaisha nchi hii, Tatizo watu wanapeana vyeo kwa rushwa,
 
Back
Top Bottom