MAZISHI yalifanyika?

Status
Not open for further replies.

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Kulikuwa na uzi wa miujiza ya kitanzania juzi humu JF, ulianzishwa na Mkuu mmoja aitwaye Kiba. Ulihusu mtu aliyefariki na maiti yake kupelekwa monchwari, marehemu kurudi nyumbani na maiti kubaki hospitalini. Mkuu Kiba na wengine naomba kufahamishwa mazishi yalifanyika? Nini kilitokea? 'Marehemu' anasemaje kuhusu kufa kwake? anaendelea kunyonyesha?

Samahani kwa kupitwa kwangu kama ndivyo
 
ningependa kujua pia, hatma ya mambo ya LAMADI!! nchi yangu ya TANZANIA, INA wakufunzi mpaka kwenye science za kiroho!! MAKOFI KWETU kwa! kwa! kwa! kwa! nonsense!
 
leo gazeti la Chama Cha Mapinduzi uhuru wameripoti habari hiyo, wanasema maziko bado hayajafanyika.
 
ishuu ilikuwa kweli hiyo ,jana Star tv walirusha habari hiyo kwa kina sana na vituko vya kusaka mchawi vikaanza na kuonekana akina mama ni wachawi zaidi kuliko wanaume.
 
Kwa taarifa nilizopata leo asubuhi alhamisi tarehe 22/11/2012 toka source yangu iliyopo pale LAMADI ni kuwa, baada ya ile maiti kuletwa ilibadilika na kuonekana ni BIBI KIZEE, ndiye aliyefariki. Wananchi waliitisha kura ya maoni na wakambaini mama mmoja kuwa ndiye mhusika. Kwa hiyo ile maiti ya Bibi Kizee imezikwa nyumbani kwa huyo mama anaesadikiwa kuwa mchawi. Sasa hivi huyo mama anashikiliwa na vyombo vya usalama.

Yule Mama aliyesadikiwa kufariki kabla ya kujitokeza, bado anaonekana kutokuwa na fahamu na taratibu za matibabu kwa mganga wa asili/jadi bado zinaendelea. Lakini yupo ni mzima wa afya ukiondoa tatizo la kuchanganyikiwa na kutojitambua.
 
ningependa kujua pia, hatma ya mambo ya LAMADI!! nchi yangu ya TANZANIA, INA wakufunzi mpaka kwenye science za kiroho!! MAKOFI KWETU kwa! kwa! kwa! kwa! nonsense!
Nadhani ile maiti ilienda kuchukuliwa Hospitali na kuiacha nyumbani kuona kama itaanza kuoza au la, maana nasikia huwa unakuwa ni mgomba na wala sio mtu
 
Acha mambo ya kudhani, maiti ilizikwa nyumbani kwa mwanamke anayetuhumiwa kuwa mchawi. Ile maiti baadae ilionekana ni ya Bibi kizee si ya yule mama mwenye mtoto aliedhaniwa kafa. Mazingaombwe haya walichezewa.

I got this from reliable source from Lamadi.
 
nawatoa kidogo nje ya topic: inasemekama yule mh. wa vijisenti haya ndio maeneo anayotokea na wote mnakumbuka jinsi alivyofanya 'muujiza' wa unga wa bungeni na mpaka sasa anadunda bila wasi. Nchi hii ina safari ndefu kufika iendako!
 
mbombo ngafu
 
Ndio kimkoa anatoka mkoa wa Simiyu, lakini lilipotokea hili tukio ni Wilaya nyingine tofauti na anapotoka mzee wa vijisenti. Wiki hii kabla ya hili tukio nilikuwepo pale kuonana na jamaa yangu ambaye ndie source wangu kwa hizi info.
 
Gonga hapa Mwili uko chumba cha kuhifadhia miili hosptali marehemu yuko nyumbani

Kulikuwa na uzi wa miujiza ya kitanzania juzi humu JF, ulianzishwa na Mkuu mmoja aitwaye Kiba. Ulihusu mtu aliyefariki na maiti yake kupelekwa monchwari, marehemu kurudi nyumbani na maiti kubaki hospitalini. Mkuu Kiba na wengine naomba kufahamishwa mazishi yalifanyika? Nini kilitokea? 'Marehemu' anasemaje kuhusu kufa kwake? anaendelea kunyonyesha?

Samahani kwa kupitwa kwangu kama ndivyo

Hapa ndiyo JF bana!
 
ndio kimkoa anatoka mkoa wa simiyu, lakini lilipotokea hili tukio ni wilaya nyingine tofauti na anapotoka mzee wa vijisenti. Wiki hii kabla ya hili tukio nilikuwepo pale kuonana na jamaa yangu ambaye ndie source wangu kwa hizi info.

thank you kwa taarifa

nikirud kwenye quotation yako hapo chini ya jei kei,ni kweli kwamba wanafunzi wanaopata mimba ni kwa sababu tu ya kihere here chao??
 
Hahahaaa, hili swali lingemfaa zaidi baba mwanaAsha kwani inawezekana alitest akamjaza mimba ndo aka conclude ni kwa sababu ya kiherehere chao. Ama pengine Mzee Makamba alimwambia, si unajua huyu mzee alishawahi kumjaza denti!!!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom