VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,800
Kulikuwa na uzi wa miujiza ya kitanzania juzi humu JF, ulianzishwa na Mkuu mmoja aitwaye Kiba. Ulihusu mtu aliyefariki na maiti yake kupelekwa monchwari, marehemu kurudi nyumbani na maiti kubaki hospitalini. Mkuu Kiba na wengine naomba kufahamishwa mazishi yalifanyika? Nini kilitokea? 'Marehemu' anasemaje kuhusu kufa kwake? anaendelea kunyonyesha?
Samahani kwa kupitwa kwangu kama ndivyo
Samahani kwa kupitwa kwangu kama ndivyo