Mazishi ya wanafunzi walio ungua kwa moto katika picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazishi ya wanafunzi walio ungua kwa moto katika picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Fidel80, Aug 26, 2009.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Miili ya wanafunzi ikiwa kwenye masanduku ikiwa
  imehifadhiwa kwenye chumba maalumu shuleni.

  [​IMG]
  Miili ya wanafunzi ikiwekwa sawa

  [​IMG]
  Miili ya wanafunzi ikishushwa kwenye Fuso kwenda kuzikwa


  [​IMG]
  Mashimo 12 yaliyo chimbwa kwa ajili ya kuwazika wanafunzi
  walio ungua shuleni hapo.

  [​IMG]
  Miili ya wanafunzi ikisogezwa karibu ili kuingiza kwenye nyumba
  ya milele.


  [​IMG]
  Sanduku likishushwa taratiiiibu kwenye shimo.

  [​IMG]
  Mbunge wa Ismani Mh. Lukuvi akiwajibika

  [​IMG]
  Mh.Lukuvi akiweka shada la maua moja wapo wa makaburi 12

  [​IMG]
  Katibu tawala wa mkoa wa Iringa Gerturude Mpaka akiweka shada katika makaburi ya wanafunzi hao

  [​IMG]
  Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Prof.Jumanne Maghembe akiweka shada la maua

  [​IMG]
  Ndugu wa wanafunzi waliokufa moto Idodi wakiweka
  shada la maua


  [​IMG]
  Mmoja wa ndugu wa wanafunzi walio ungua kwa moto
  akisaidiwa na wasamalia wema.
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  inatia uchungu kupitiliza, jamani jamani! poleni sana wafiwa....
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yeah shukrani Nyamayao naumia zaidi kuona CCM wametoa 70,000/= mkono wa pole kwa wafiwa sijui watagawana kiasi gani [​IMG]
   
 4. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  yaani jamani maisha haya! mie cjui kwa kweli, inaumiza sana tena sana....
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Pole luv taratibu tutafika tu nikujifunga mkanda
   
 6. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 584
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Inatisha,inasikitisha,Inasonononesha!!!
  Poleni sana jamani, wafiwa wote muwe na subira!
  Mwenyezi Mungu awarehemu wote waliofariki katika ajali hii.
  Amiin.
   
 7. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  elfu sabini jamani, ina maana CCM mkoa wa Iringa kwenye account wana 70,000 tu, aua hawakuwa wamejiandaa
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hili tukio limeniuma sana tena kwa kiwango kikubwa hasa nikifikiria waliopoteza maisha na familia zao zilizobaki na majonzi makubwa. MUNGU atusaidie kila siku za maisha yetu kwa kuendelea kutulinda. Nasi tuna jukumu la kumuomba sana atusamehe makosa yetu na kuwalinda watoto na wadogo wetu walioko mashuleni na majanga mabaya ya kimwili na kiroho.

  Poleni sana wafiwa Mungu pekee ndie wa kuwapa faraja iliyo kuu na ya kudumu.
   
 9. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Joyceline, CCM ndio serikali jamani haitakiwi kuonyesha udhaifu huu, halafu majanga hayana cha kujiandaani suala la kuwa na viongozi wenye utu tu!
   
 10. Revamp

  Revamp Member

  #10
  Aug 26, 2009
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani hii sasa inabidi ifike mahali hata na hawa viongozi wetu waingiwe na moyo wa huruma na kuyaangalia mashule yetu.

  Ilipaswa ile ya shauritanga iwe nikama pilot study ya kuona nini kifanyike ili isitokee tena,any way kwakuwa wao ndio wameamua kufanya kama sehemu ya maisha yao ya kuwa mstari wambele pindi linapotokea jambo na baadae kufumba macho dhidi ya kiini cha tatizo siwezi kuwalaumu sana.

  Askofu Mtetemela amesema ukweli jana na kama hawa viongozi wetu wanamuogopa Mungu basi nadhani wata amka sasa.

  Ni mawazo tu wala msijenge chuki
   
 11. killo

  killo JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Ewe Mwenyezi mungu zilaze roho za marehemu hawa salama Peponi

  Pole ni sana Wafiwa
   
 12. M

  Msindima JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Uuuwi nahisi uchungu sana ndani ya moyo wangu,jana niliumia sana nilipoona picha za mabaki ya miili ya wanafunzi hao sasa leo tena nimeona hizi picha za mazishi nimeumia zaidi.
   
 13. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi hakuna wa kuwajibika? mbona kuna wanafunzi wamedai kuwa kuna mtu alitupa petroli ndani na walipokuwa wanataka kutoka akawasukumia ndani? hili linjulikana?
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapo si kweli wamedanganya hao wanafunzi maana shule yenyewe ilikuwa ina vioo alafu na ndono sijui hilo dumu la petroli lingepitia wapi....?
   
 15. O

  Omumura JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35  Nafikiri huu sio muda wa kumtafuta mchawi, ilobaki tuwaombee hao ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki, na kuwaombea pia ndugu,jamaa na wafiwa wote waweze kustahimili msiba huu mzito!
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  If indeed this is the funeral, and not some cover-up, somebody with the proper responsibility needs to write a letter to The New York Times and BBC demanding a correction of the misinformation they printed that the students were buried in a mass grave. If this information was given erroneously then somebody should be responsible for giving wrong information of such grave nature, no pun intended.

  Since the days of Uli Mwambulukutu at Daily News I have not seen our people correcting the variousmisinformation dished out against Tanzania.

   
 17. BooSt3D

  BooSt3D Senior Member

  #17
  Aug 30, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Inasikitisha, inanikumbusha shauri-tanga, Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.

  B.
   
Loading...