Hehehe kweli maandiko yanaenda na wakati ndio maana dhehebu moja kubwa wana renew 10 commandment every 50 years I think. This time for example imekuja na thow should not drink and drive for thy lord hateth... ,thow shall not watch tv for more than 3 hours a day..thou shall not knowingly visit porn sites on the net and if u hapen to accidentaly u shud leave within 30 mins.
 
Mashoga, wasagaji na watenda dhambi zingine endeleenii kutenda uovu wenu lakini msitake kuzuia watu kuhubiri injili eti kwa sababu kipengele fulani kwenye Biblia kinakukosoa matendo yako. Huyo Mchungaji hakuhukumu mtu bali alifanya kazi yake ya kueneza neno la Mungu.

Unajua wanachotaka hao wasagaji na mashoga ni kuhalalisha matendo yao na yasiwe sehemu ya mahubiri/injili, hiyo haitawezekana, acha sheria za dunia ziwaruhusu lakini injili itaendelea kuhubiriwa kama ilivyo, mwenye kusikia na asikie na mwenye kupuuza aendelee hivyo lakini bila kuingilia uhuru wa imani ya mtu.

Kuna dhambi nyingii zinatendwa, kwa mfano ulevi, wizi, uzinzi, uuaji nk lakini hukuna siku watu wanaotenda hayo maovu wakaomba yafutwe na yasiwe sehemu ya mahubiri, cha ajabu ******* na wassgaji wanadai hivyo, never.

Wachungaji endeleeni kutwanga injili, Bwana Yesu alikula na wenye dhambi na aliwaambia ukweli kuwa kwa dhambi zao ni wagonjwa wanaohitaji daktari, wala hakuwasifia waendelee kuwa watenda dhambai bali watubu.
 
Ninyi mnasema nini!

hapa USA kuna Kesi ya nguvu ilifunguliwa dhidi ya Mapadre wa RC kuwala witi Vijana wadogo wa miaka 10 mpka 17.
Hukumu ilitolewa na Kanisa Katoliki kutozwa mamilioni ya Dola.
Trip nyingi za papa hapa Marekani ni kuilanisha migogoro ya kula witi na ile ya Mapadre wa USA kutaka kuasi na kuoa.
Askofu/mchungaji Eddy Long kanisa moja la uamsho hapa Marekani Maarufu kwa kutoa misaada nchini Kenya anakabiriwa na Tuhuma za kuwala witi vijana kadhaa ambao ni sehemu ya kondoo wa zizi lake.

images

images

images

Wanakemea Dhambi kisha wanarudi kuzitenda mafichoni hawa si wachungaji wa kondoo wa Bwana ni Mbweha wabaya na Hatari kwa kondoo wa Bwana waliopotea.

Khaaaaaa!!!!!!!!! This dude Pheww!!!!!!!!
 
So sad to hear that some people hate their fellow man without any apparent reason and, i am appalled this is like saying born with dark skin or blue eyes is wrong, so sad,,,people actually hate and even kill homosexuaals becase of what who they are! This is shame and unfair, being a guy or lesbian is not against human nature therefore guys must be treated in the same way that others who are not guys do! It is better to know that being guy is a matter of choice, rather is inborn,,, so they can't change who they are!
If homosexuality is against nature why some animal,, (about 450 species) who are well reserched are practicing homosexuality and u have to understand that technically we are all mammals,,, so we have nothing to do with who we are!
Better leave guys alone as long as their happiness never makes you sad!

Atiiiiiiii!!!!!!!!!!!1
 
Pole sana kwa kuumia, napata wasi wasi kodogo, na wewe ni shoga? Mungu angekuwa alimuumba binadamu ili mwanaume ageuzwe au mwanamke awe mwanaume asingeiadhibu Sodoma na Gomora. Unakuta kijana wa kiume alikuwa amekamilika kama mwanaume, akishaingia kwenye ushoga utashangaa sauti anaibana, mishebeduo na mapozi ya ajabu ajabu yanaanza nk. Unashangaa huyu kabadilika lini? Tunapobadilishwa na makundi au tamaa zetu wenyewe tusimsingizie Mungu.

Huyo mchungaji naye kachemsha, na alichokipanda ndiyo kavuna. Naelewa wachungaji wanazika waumini wao, sasa huyo shoga alikuwa muumini wake mpaka amzike? Na kama alikuwa muumini wake yeye kama baba wa kiroho alikuwa wapi kumcouncil kuhusu huo ushoga wake?
 
Hivi mtu anaweza kuwa homosexual wa kuzaliwa? Kama jibu ni ndiyo, nini nafasi ya watu kama hao katika jamii?

Hakuna shoga wa kuzaliwa hivyo; hii ni tabia mtu anajifunza na akiizoea inakuwa vigumu kuacha. Wengine wanaingiliwa wakiwa wadogo kiasi kwamba akija kupata akili sawasawa anajikuta kesha kuwa shoga; si kwamba anazaliwa hivyo.
Hata wewe ukitaka waweza kuwa shoga, jaribu kidogo kidogo, mara mbili, tatu hivi utaanza kusikia kiduduwasha huko sehemu; unahitaji kukunwa - then ujue tayari wewe!
 
BAADA ya shoga maarufu jijini Dar es Salaam, Ibrahimu Mohamed ‘Anti Suzy' (25), kutoboa siri kwenye vyombo vya habari jinsi watoto wa kiume wanavyoharibiwa na wanaume na kueleza namna alivyobwagiwa mtoto wa mwaka amtunze, mwanamume aliyembwagia mtoto ameibuka na kumjeruhi kwa visu akitaka kumuua. Mwanamume huyo mwenye mke, awali alikuwa akiishi na Anti Suzy kama mume na mke eneo la Jangwani, baada ya kumkimbia mkewe na alikorofishana na shoga huyo baada ya kumfanyia fujo na kumuibia.

Akizungumza na gazeti la Habari Leo jana nyumbani kwake, ‘Anti Suzy' aliyejitangaza kuwa ni muathirika wa Virusi Vya Ukimwi kwa zaidi ya miaka 10 sasa, alisema mwanamume huyo alikuwa akimsumbua warudiane, lakini yeye alikataa na kumtaka aishi na mkewe na kutunza watoto badala ya kumng'ang'ania.

"Nilimwambia simtaki, vituko alivyonifanyia ukiacha kuniletea mtoto wa mwaka na nusu wa kike nimlee hapa nyumbani, alikuwa akinipiga, kunitukana na aliniibia vitu vyangu vyote. Kwanza nilishamwambia nimeathirika na Ukimwi ananifuata nini?" Alihoji shoga huyo.

"Jana (juzi) alinipigia simu akinitaka turidiane nikamwambia asinifuate kwanza nimeshaenda kwenye vyombo vya habari."

Alisema alimwambia hivyo ili asimfuate, lakini baada ya kumweleza hayo, alimvamia nyumbani juzi kati ya saa nne na tano asubuhi akiwa na panga na visu akimtishia kumuua kama hawatarudiana na kama ataendelea kwenda kwenye vyombo vya habari kumuanika mambo yake.
"Nilikimbilia ndani na yeye akanifuata humo, akarusha panga anikate shingoni huku akisema ataniua, nikakwepa, lakini likanijeruhi shingo, kama haitoshi akachukua kisu alichokuwa nacho akanikata vidole.

"Damu ikaanza kutoka nyingi, alivyoona hivyo akanikaba kooni ili aninyonge, majirani waliposikia nakoroma, wakavunja mlango na kuniokoa," alidai Anti Suzy.

Shoga huyo aliyeanza vitendo hivyo akiwa mkoani Mwanza, alisema aliamua yeye na mama mwenye nyumba kwenda Kituo Kidogo cha Polisi Jangwani kutoa taarifa na kupewa hati yenye namba MS/RB/10695/2011.

Alisema baada ya kwenda Polisi, aliandika maelezo na kutoa vielelezo likiwemo panga na kisu alivyovitumia kumjeruhi na aliandikiwa hati ya matibabu (PF3) na kwenda Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa matibabu.

Polisi katika Kituo cha Jangwani walithibitisha kutokea kwa tukio hilo, lakini walisema mlalamikaji alijitaja kwa jina la kike ambalo ni Suzana Mohamed na tayari taarifa za suala hilo zimepelekwa Kituo cha Polisi Msimbazi kwa hatua za juu zaidi. Mkuu wa Kituo cha Msimbazi hakuwa tayari kutoa taarifa kuhusu suala hilo.

Aidha, Muuguzi aliyekuwa zamu juzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja ambaye hakupenda kutaja jina gazetini, pia alithibitisha kumhudumia mgonjwa, Suzana Mohamed (25) mkazi wa Jangwani aliyejeruhiwa shingo na vidole kwa kukatwa na visu akiwa na PF3.

Mama mwenye nyumba anakoishi ‘Anti Suzy,' Manju Machu maarufu kama Bi Manju, alithibitisha jana kutokea kwa tafrani hiyo iliyosababisha mpangaji wake huyo akimbie kunusuru maisha yake.

"Alikuja hapa huyo mwanamume akamvamia akitaka kumuua, alikuwa na panga na kisu, tuliingilia maana alikuwa anasema lazima amuue, nikasema akimuulia hapa kwangu na mimi nitakuwa matatani, na nchi hii ina sheria, kama una kosa na mtu polisi si ipo? Sisi tulimpeleka huyu Polisi kutoa taarifa" alisema Machu.

Majirani wa Mohamed ‘Anti Suzy' nao walithibitisha jana kushuhudia vurugu hizo na kumshauri shoga huyo kurudi kwao Mwanza ikiwa vitisho vitaendelea.

Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mohamed alifanya mahojiano na gazeti la Habari Leo na kueleza namna vigogo aliowataja kwa jina la mapedejee wanavyowatumia wao kwa gharama yoyote, wawatafutie watoto wadogo walioko shuleni na mitaani akiwataka wazazi, serikali na jamii kuwa macho na watoto hasa wa kiume.

Aidha, pia aliwaonya wanaume wasimfuate kwa kuwa yeye ni mwathirika wa Ukimwi na kwamba mashoga kama yeye wameathirika na ugonjwa huo. Usikose makala maalumu ya mahojiano ya ana kwa ana baina ya gazeti la Habari Leo na Mohamed "Anti Suzy" katika gazeti hilo keshokutwa Jumatano.
 
hivi huyo si ndo yule aliekua anahojiwa jana clouds fm?.... dah mola wetu tunusuru dunia imeisha hii jaman...
 
Hawa adhabu yao ni kifo tu...wanaharibu sana jamii hawa wajinga!

Mi nafikiri tuanze na wanaowachukua,mkakati uanze sasa,wakikosa wateja hawawezi kuendelea na huu upuuzi.

Maneno yake siyakupuuzia kua asilimia kubwa ya mashoga wanakua wameathirika,sisi wanaume tulio rijali ndio wakuchukua hatua zaidi,hali inatisha sana hawa watu nihatari sana.
 
Swali linalonisumbua kichwani.... Naomba isichukuliwe otherwise Je ni kwanini Mashoga wengi huchagua majina ya kikristo?maana hili nalo Bomu!
 
BAADA ya shoga maarufu jijini Dar es Salaam, Ibrahimu Mohamed ‘Anti Suzy’ (25), kutoboa siri kwenye vyombo vya habari jinsi watoto wa kiume wanavyoharibiwa na wanaume na kueleza namna alivyobwagiwa mtoto wa mwaka amtunze, mwanamume aliyembwagia mtoto ameibuka na kumjeruhi kwa visu akitaka kumuua. Mwanamume huyo mwenye mke, awali alikuwa akiishi na Anti Suzy kama mume na mke eneo la Jangwani, baada ya kumkimbia mkewe na alikorofishana na shoga huyo baada ya kumfanyia fujo na kumuibia.
Akizungumza na gazeti la Habari Leo jana nyumbani kwake, ‘Anti Suzy’ aliyejitangaza kuwa ni muathirika wa Virusi Vya Ukimwi kwa zaidi ya miaka 10 sasa, alisema mwanamume huyo alikuwa akimsumbua warudiane, lakini yeye alikataa na kumtaka aishi na mkewe na kutunza watoto badala ya kumng’ang’ania.
“Nilimwambia simtaki, vituko alivyonifanyia ukiacha kuniletea mtoto wa mwaka na nusu wa kike nimlee hapa nyumbani, alikuwa akinipiga, kunitukana na aliniibia vitu vyangu vyote. Kwanza nilishamwambia nimeathirika na Ukimwi ananifuata nini?” Alihoji shoga huyo.
“Jana (juzi) alinipigia simu akinitaka turidiane nikamwambia asinifuate kwanza nimeshaenda kwenye vyombo vya habari.”
Alisema alimwambia hivyo ili asimfuate, lakini baada ya kumweleza hayo, alimvamia nyumbani juzi kati ya saa nne na tano asubuhi akiwa na panga na visu akimtishia kumuua kama hawatarudiana na kama ataendelea kwenda kwenye vyombo vya habari kumuanika mambo yake.
“Nilikimbilia ndani na yeye akanifuata humo, akarusha panga anikate shingoni huku akisema ataniua, nikakwepa, lakini likanijeruhi shingo, kama haitoshi akachukua kisu alichokuwa nacho akanikata vidole.
“Damu ikaanza kutoka nyingi, alivyoona hivyo akanikaba kooni ili aninyonge, majirani waliposikia nakoroma, wakavunja mlango na kuniokoa,” alidai Anti Suzy.

Shoga huyo aliyeanza vitendo hivyo akiwa mkoani Mwanza, alisema aliamua yeye na mama mwenye nyumba kwenda Kituo Kidogo cha Polisi Jangwani kutoa taarifa na kupewa hati yenye namba MS/RB/10695/2011.
Alisema baada ya kwenda Polisi, aliandika maelezo na kutoa vielelezo likiwemo panga na kisu alivyovitumia kumjeruhi na aliandikiwa hati ya matibabu (PF3) na kwenda Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa matibabu.
Polisi katika Kituo cha Jangwani walithibitisha kutokea kwa tukio hilo, lakini walisema mlalamikaji alijitaja kwa jina la kike ambalo ni Suzana Mohamed na tayari taarifa za suala hilo zimepelekwa Kituo cha Polisi Msimbazi kwa hatua za juu zaidi. Mkuu wa Kituo cha Msimbazi hakuwa tayari kutoa taarifa kuhusu suala hilo.
Aidha, Muuguzi aliyekuwa zamu juzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja ambaye hakupenda kutaja jina gazetini, pia alithibitisha kumhudumia mgonjwa, Suzana Mohamed (25) mkazi wa Jangwani aliyejeruhiwa shingo na vidole kwa kukatwa na visu akiwa na PF3.
Mama mwenye nyumba anakoishi ‘Anti Suzy,’ Manju Machu maarufu kama Bi Manju, alithibitisha jana kutokea kwa tafrani hiyo iliyosababisha mpangaji wake huyo akimbie kunusuru maisha yake.
“Alikuja hapa huyo mwanamume akamvamia akitaka kumuua, alikuwa na panga na kisu, tuliingilia maana alikuwa anasema lazima amuue, nikasema akimuulia hapa kwangu na mimi nitakuwa matatani, na nchi hii ina sheria, kama una kosa na mtu polisi si ipo? Sisi tulimpeleka huyu Polisi kutoa taarifa” alisema Machu.
Majirani wa Mohamed ‘Anti Suzy’ nao walithibitisha jana kushuhudia vurugu hizo na kumshauri shoga huyo kurudi kwao Mwanza ikiwa vitisho vitaendelea.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mohamed alifanya mahojiano na gazeti la Habari Leo na kueleza namna vigogo aliowataja kwa jina la mapedejee wanavyowatumia wao kwa gharama yoyote, wawatafutie watoto wadogo walioko shuleni na mitaani akiwataka wazazi, serikali na jamii kuwa macho na watoto hasa wa kiume.
Aidha, pia aliwaonya wanaume wasimfuate kwa kuwa yeye ni mwathirika wa Ukimwi na kwamba mashoga kama yeye wameathirika na ugonjwa huo. Usikose makala maalumu ya mahojiano ya ana kwa ana baina ya gazeti la Habari Leo na Mohamed “Anti Suzy” katika gazeti hilo keshokutwa Jumatano.

Kwa hiyo mtoa mada na huyu ni Celebrity au??? Mi ningeshauri hii thread iende jukwaa la habari na hoja mchanganyiko!!
 
Back
Top Bottom