Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

mbona mnamumunya maneno...
ni kweli wanamumunya maneno, halaf ana wataja wanasheria magwiji halaf ni matajiri wakubwa, na wote wametajwa kwenye skendol flani flani.... Up coming lawyer sijui wanafundishwa nini hapa.
 
mhh........ what a sad ending to a great young man

come 10 years, hata kibao cha kaburi kitakua kimeshatupwa

kuna wimbo waliimba kyauri voice unaitwa nasema sina ndugu

this tale takes me there

sad!!!

Siyo Kyauri Voice, ilikuwa ni Maquis ile (Kamanyola bila jasho).
 
mnahangaika kwa mtu aliyekufa...kwani kuna shida akizikwa nairobi hata akizikwa USA? azikwe mahali popote bwana msianze kuuliza maswari meeengi fanyeni kazi mjenge uchumi waacheni wafu wazikane
 
Mkuu ngoshwe, una maana gani kusema "Tanzania ni zaidi muijuavyo"?
Nayasema haya toka Rohoni,

Kijana ni Mtanzania mzaliwa wa Rombo Tanzania, alikulia na kusoma Tanzania aliwahi kujihusiha na mapenzi na mabinti wa kitanzania na amezaa watoto wawili na mabinti wa kitanzania akiwemo mtoto aliyezaa na Bi Rehema Kitambi wa BRELA (Mtanzania mwenzetu). Kijana amefanya kazi Tanzania, wazazi wake ni watanzania na wanaishi Tanzania. Alinza kuugua akiwa Tanzania na huduma nyingine za afya amepatia Tanzania. Mambo yake muhimu ikiwemo ofisi na akaunti za Benki zipo Tanzania. Marafiki, Wanataaluma na wafanyakazi wenzie wengi ni watanzania

Kijana alikwenda Nairobi kutibiwa tu na baada ya Mungu kumwita ameona ni vyema "aka Rest In Peace" nchi ya wageni badala ya kuja kupumzishwa mji wa Baba na Mama yake, sehemu ambayo hata watoto wake wataweza kuendelea kumpa heshima akiwa katika mapumziko ya milele......

Haya..Raha ya Milele umpe e Bwana, na Mwanga wa Daima Umwangazie, Apumzike kwa Amani

AMENI...
 
Umeiskia WILL YAKE?.....!
Mim nikiandika will na kusema nikifa nichomwe moto na majivu yakamwagwe kando ya ziwa Tanganyika kiimani ndiyo nahisi nitapumzika kwa amani tu pande hizo ninyi mnaobaki hamna haki ya kuhoji kwa nini, sababu mimi ndiyo hivyo tena nishakufa. Na hao wanaosema kujiandikia will mapema ni kujichulia kifo hawajielewi, hawaelewi mambo yanavyoweza kwenda kombo huku nyuma, TUANDIKENI WILL ZETU MAPEMA IWEZEKANAVYO!
 
Alifanyaje?mimi simjui ila napenda kujua sababu ya kifo chake,inaelekea alikuwa ni mtu mwema na maarufu sana, naomba anayejua alivyokufa anijuze,tunajifunza kwa kuona na kusikia.

wakati nimesoma kuhusu kifo chake nilidhani wamezusha tuu.but huyu mtu laiti angejua mchango wake kwa watu labdo asingejiua kama ni kweli kifo cha ni kutokana na kujinyonga.One of his organisation ilikua inashughulika na maendeleo kwenye wilaya niliyokua nafanya kazi,MEATU.amegeuza maisha ya vijana wengi kupitia ufadhili kwa watoto wanaotoka familia masikini,akiwapatia kuanzia chakula,unifom,ada na michango mbalimbali.vilevile michango ya maendeleo kama vitabu mashuleni,nyumba za walimu,miradi ya nyumba etc.
TOO BAD GOOD THINGS NEVER STAYS LONG.
 
Mkuu ngoshwe, una maana gani kusema "Tanzania ni zaidi muijuavyo"?
Utaendaje kuwabana watu hata ardhi hawana? Huku kwenu kuna ardhi kuuuuuuuuuuuuubwa! watu wengine bwana utaandikaje Wosia wa aina hiyo aisee? Hata kama umegombana na baba yako au kama DNA ziligoma, huwezi ukamhurumia hata mama yako?
 
Umeiskia WILL YAKE?.....!
Mim nikiandika will na kusema nikifa nichomwe moto na majivu yakamwagwe kando ya ziwa Tanganyika kiimani ndiyo nahisi nitapumzika kwa amani tu pande hizo ninyi mnaobaki hamna haki ya kuhoji kwa nini, sababu mimi ndiyo hivyo tena nishakufa. Na hao wanaosema kujiandikia will mapema ni kujichulia kifo hawajielewi, hawaelewi mambo yanavyoweza kwenda kombo huku nyuma, TUANDIKENI WILL ZETU MAPEMA IWEZEKANAVYO!
Sawa kuandika WILL ni vizuri, lakini tuandike zenye mashiko. Huwezi ukaandika kama unamkomoa mtu bwana!! Eti nikifia nchi za nje nizikwe huko huko? Up...mbv!! Hebu fikiria ingekuwa nchi za mbali hapo ingekuwaje? Sawa unaweza kusema una hela watu watasafiri sasa kama ni kapuku tu inakuwaje?
 
Imani zetu nyingi ni za kipuuzi. Kuandika will is never a curse (ama kujichulia), people have been doing this for ages ila hapa nyumbani tunaona ni uchuro, how?
 
wakati nimesoma kuhusu kifo chake nilidhani wamezusha tuu.but huyu mtu laiti angejua mchango wake kwa watu labdo asingejiua kama ni kweli kifo cha ni kutokana na kujinyonga.One of his organisation ilikua inashughulika na maendeleo kwenye wilaya niliyokua nafanya kazi,MEATU.amegeuza maisha ya vijana wengi kupitia ufadhili kwa watoto wanaotoka familia masikini,akiwapatia kuanzia chakula,unifom,ada na michango mbalimbali.vilevile michango ya maendeleo kama vitabu mashuleni,nyumba za walimu,miradi ya nyumba etc.
TOO BAD GOOD THINGS NEVER STAYS LONG.
na wana meatu walimpa kitalu cha uwindaji ambacho kilimuingizia dolari kwa magunia
 
Sawa kuandika WILL ni vizuri, lakini tuandike zenye mashiko. Huwezi ukaandika kama unamkomoa mtu bwana!! Eti nikifia nchi za nje nizikwe huko huko? Up...mbv!! Hebu fikiria ingekuwa nchi za mbali hapo ingekuwaje? Sawa unaweza kusema una hela watu watasafiri sasa kama ni kapuku tu inakuwaje?

Wewe ni nani hata useme Will ya MAWALLA haina mashiko?!!!!! Mambo yote unayoyawaza wewe for sure alishayawaza na kuangalia possible scenarios zote ndiyo maana akaandika!
 
Ivi hadi mtu afikie hatua ya kuacha wosia wa namna hii what is behind the scene?

Shule Muhimu .....kuondoa confusion kama hizi ....hata mimi Will ninayo na kila nikipiga Hatua na Update na sina chochote behind the scene
 
What circumstance,what errors drove the brilliant and successful young man to despair and eventual suicide? May he rest in peace.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom