mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,076
- 4,113
Kijana huyo amevutia waombolezaji wengi kwenye mazishi ya Hayati Mkapa kiasi kwamba kila mmoja kutamani kupiga picha naye. Sijafanikiwa kupata jina lake lakini anadaiwa kushika wadhifa wa Udiwani huko Mtwara.
Ikumbukwe Mkapa amehudumu Urais kuanzia mwaka 1995 - 2005 hivyo huenda fulana hiyo ilitengenezwa kati ya 1995 na 2000 wakati wa kampeni za kumnadi Hayati Mkapa.
Je, unahisi fulana hiyo itakuwa na umri gani?