Mazishi ya Mzee Mkapa: Kijana avutia watu kwa kuvaa fulana iliyotumika kwenye kampeni ya Urais kumnadi Mzee Mkapa

Kumbe nami nitunze za mwinyi, Kikwete na Magufuri chap naibuka nazo sehemu sehemu ni ulaji tosha🤪🤦 nalog off😁
 
Kijana huyo amevutia waombolezaji wengi kwenye mazishi ya Hayati Mkapa kiasi kwamba kila mmoja kutamani kupiga picha naye. Sijafanikiwa kupata jina lake lakini anadaiwa kushika wadhifa wa Udiwani huko Mtwara.

Ikumbukwe Mkapa amehudumu Urais kuanzia mwaka 1995 - 2005 hivyo huenda fulana hiyo ilitengenezwa kati ya 1995 na 2000 wakati wa kampeni za kumnadi Hayati Mkapa.

Je, unahisi fulana hiyo itakuwa na umri gani?
Ila mauaji ya Januari 2001 kule Zanzibar yalitia doa sana utawala wa Mkapa
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom