Mazishi ya marehemu Yohana Mpinga aliyekufa Ndago - Singida yafanyika

Hizi siasa gani jamani?. Yaani inafikia hatua ya watu kukodi mamluki wa kuvuruga mikutano ya vyama vingine kwa kuwa tu watu hao hawana ajira, hawana kipato na wamelipwa ujira wa chini kabisa wakati wanakuwa subjected to paying of ultimate price (losing life).

Siasa ni uvumilivu kama wewe ngozi yako ni laini jitoe, unajua katika siasa za Tanzania hakuna kijana aliyepo katika siasa leo hii aliyejijengea chuki na dharau toka kwa vijana wenzake kama Mwigulu Nchemba, Nchemba amekuwa na mindset ya backward akili kama za wazee wastaafu wa CCM ambao wanadhani kuwa wao ni bora na wanastahili zaidi ya watanzania wengine. Yaani unamuagiza mwenzako akafanye fujo na kuchochea hasira za watu waliokuwa wametulia katika mkutano wao ili wewe unufaike na madhara yatakayotokana na vurugu hizo?. Ukweli ni kwamba CDM haikuanzia mikutano Ndago, mbona huko kote walipopita hakuuwawa hata sisimizi?.

Nimehuzunika sana na kifo cha Yohana Mpinga kama ndugu yangu wa damu. Yaani tumeishiwa hoja mpaka kufikia kuanza kutumana kwenda kuchokoza watu?, Mimi ninaamini kabisa kuwa kama CDM kingekuwa chama cha vurugu basi kifo cha mwenyekiti wa CDM Arumeru ndugu Msafiri kingeshuhudia viongozi wengi wa CCM wakifuata toka kwa vijana wenye hasira. Lakini busara za CDM za kutuliza vijana wao zimeonekana kana kwamba ni mtaji ambao CCM imeisha upoteza. Matukio ya Maswa wakati wa uchaguzi wa 2010, Igunga na Arumeru yamedhihirisha kuwa CCM inajigeuza kuwa militant party.

Nina hakika kabisa kama polisi wangekuwa impartial kwenye kuteleza majukumu yao yaani hakuna kulinda mtu yeyote awe wa CCM au wa wapi basi kifo cha Yohana na wengine wengi vinge epukika.

I hate Mwigulu Nchemba's mind set of exploiting the poor for their political gain.

@Hoftsede ... dah .. you have said it all ... thanks my bro

let me rest now
 
JF inakosa maana watu mnafanya kama sehemu ya propaganda badala ya kujadiri vitu vya maana! RIP Yohana
 
U

Polisi wangelifanya kazi Yao marehemu Leo angekuwa mshtakiwa wa kufanya fujo katika mkutano wa CHADEMA tu. Amekufa polisi kuchelea akikamatwa ukweli ni nani ameelekeza fujo hizo angejulikana. Ujumbe usichezee nguvu ya unna. Waliobaki wajifunze.
 
Discussion za topic hii hazina tija. kifo cha binadamu yeyote na kwa sababu yoyote hakiwezi kufurahiwa hivi. wote wanaoshabikia hili na kutetea Damu ya marehemu iwe juu yao ili badaye watambue si kitendo cha kishabiki bali cha huzuni kisichopaswa kutokea.
 
Akili zako hazifiki hata ujazo wa GB1. Nilikuwa Washington Dc Marekani siku aliyouwawa Gaidi Osama bin Laden na ilikuwa ni sherehe kubwa mpaka Champagne zilifunguliwa. wewe sijui unaongea upuuzi wa kutokea wapi?
 
Mazishi ya marehemu Yohana mpinga aliyeuawa na vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CHADEMA yanafanyika hivi punde katika kitongoji cha Kibaya kijiji cha Songambele kata ya Ndago wilaya ya Iramba.

Mkuu wa mkoa, naibu katibu mkuu CCM tanzania bara john Chiligati na mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba na wanaCCM wengi wamejitokeza.

Watu ni wengi sana.

Waombolezaji wanasema waambie jamaa wa upande wa pili waje kuzika. Hawapo hapa hata mmoja.

marehemu alikuwa katibu wa vijana wa ccm wa kata ya ndago

wabunge takribani 7 hadi 8 hivi wa CCM walikuwepo.

CDM haijatuma mwakilishi kama CCM wanavyofanya kwenye misiba ya CDM, kwa mfano wa Regia Mtema, Wangwe na Bob Makani.

Source: Mimi mwenyewe.

masaburi yako machafu wee!!! kuua mmeua wenyewe halafu mnataka CDM wafanyaje yaan waache kujadili mambo ya msingi ya ukombozi wa taifa hili waje kumzika mlevi huyo aliyehongwa 2000 za gongo ili apopoe mawe!!
 
Mazishi ya marehemu Yohana mpinga aliyeuawa na vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CHADEMA yanafanyika hivi punde katika kitongoji cha Kibaya kijiji cha Songambele kata ya Ndago wilaya ya Iramba.

Mkuu wa mkoa, naibu katibu mkuu CCM tanzania bara john Chiligati na mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba na wanaCCM wengi wamejitokeza.

Watu ni wengi sana.

Waombolezaji wanasema waambie jamaa wa upande wa pili waje kuzika. Hawapo hapa hata mmoja.

marehemu alikuwa katibu wa vijana wa ccm wa kata ya ndago

wabunge takribani 7 hadi 8 hivi wa CCM walikuwepo.

CDM haijatuma mwakilishi kama CCM wanavyofanya kwenye misiba ya CDM, kwa mfano wa Regia Mtema, Wangwe na Bob Makani.

Source: Mimi mwenyewe.

Kwani CCM yale mauaji ya Arusha walituma mwakilishi?
 
Akili zako hazifiki hata ujazo wa GB1. Nilikuwa Washington Dc Marekani siku aliyouwawa Gaidi Osama bin Laden na ilikuwa ni sherehe kubwa mpaka Champagne zilifunguliwa. wewe sijui unaongea upuuzi wa kutokea wapi?[wewe ni kiazi kingine JF
 
Naafikiana nawe Mkuu juu ya hili. Hawezekani Vijana warushe mawe mbele ya mkutano unaosimamiwa na POLISI halafu waachwe bila kukamatwa eneo la tukio. Inaelekea sababu ya mauaji ikawa nyingine kabisa kwa kua hayakufanyika eneo la mkutano ambapo fujo zinadaiwa kufanyika. Hainiigii akilini kuwa mtu anapigwa hadi kufa na POLISI wanashuhudia bila ya wao kuumia au kujeruhi watu kama kawaida ya matendo ya askari wetu kwenye maeneo yenye vurugu. Tulitegemea tuuone mkono wa DOLA ukifanya kazi maana ulikuwepo. Tujuzeni jamani au nao wako kwenye MGOMO BARIDI!!!
 
CDM waje kufanya nini? Hivi kila mwanachama wa CDM anayefariki CCM uwa wanatuma mwakilishi? au kila mwanachama wa CCM anayefariki CDM uwa wanatuma mwakilishi? Mbona kuna wanachama wengi wa CDM na CCM wamefariki lakini hakuna mwakilishi wa CCM AU CDM aliyefika?
 
Discussion za topic hii hazina tija. kifo cha binadamu yeyote na kwa sababu yoyote hakiwezi kufurahiwa hivi. wote wanaoshabikia hili na kutetea Damu ya marehemu iwe juu yao ili badaye watambue si kitendo cha kishabiki bali cha huzuni kisichopaswa kutokea.

we ni nani kutoa laana?

Nani umemuona ana furahi kifo cha mtu, tafadhali kama unachukizwa na mjadala unaweza ukajirusha kwenye jukwa lingine au thread nyingine, usitunyime haki ya kujadili kwa kina.

We unataka tuseme tu rest in peace bila kuchambua kwa kina waliosababisha kifo!
 
mchuma janga hula na wa kwao!sasa huyu kijana shilingi elfu kumi imeondoa roho yake ama kweli wajinga ndiyo waliwao!
 
Mazishi ya marehemu Yohana mpinga aliyeuawa na vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CHADEMA yanafanyika hivi punde katika kitongoji cha Kibaya kijiji cha Songambele kata ya Ndago wilaya ya Iramba.

Mkuu wa mkoa, naibu katibu mkuu CCM tanzania bara john Chiligati na mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba na wanaCCM wengi wamejitokeza.

Watu ni wengi sana.

Waombolezaji wanasema waambie jamaa wa upande wa pili waje kuzika. Hawapo hapa hata mmoja.

marehemu alikuwa katibu wa vijana wa ccm wa kata ya ndago

wabunge takribani 7 hadi 8 hivi wa CCM walikuwepo.

CDM haijatuma mwakilishi kama CCM wanavyofanya kwenye misiba ya CDM, kwa mfano wa Regia Mtema, Wangwe na Bob Makani.

Source: Mimi mwenyewe.

Kweli Chma imara ni cdm hakuna hata mmoja kwenye kundi lenu ambaye atalala bila kutaja cdm hongera sana subiri vipimo hamfanyi mambo yenu bila kujilinganisha na Chadema hata nguo basi vaeni kama cdm wake zenu nao wavaie kama cdm kutembea kama cdm kula kama cdm kuimba kama cdm kulala kama cdm kulia kama cdm hadi rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Moyoni na bado hiyo nii trail tu picha lenyewe 2015 mtakoma kuringa
 
Kifo cha Yohana Mpinga kiwe somo kwa wapuuzi wanaotumwa kama wajinga kupotosha ukweli! Wengine wako humu jF. Mtajibeba
 
Back
Top Bottom